Hapa kuna upendo au natumika nifungueni macho

Uliyonayo kwenye moyo wako ni nitofauti na maamuzi yako! IPO hivi maswali na Hoja unazohisi juu yake hata yeye anahisi hivyo hivyo kwamba inawezekana wewe unamtumia pia,, hrf mbona mwamba amekupa uelekeo na jibu zuri kabisa kwamba muendelee kuwa kwenye mahusiano kwakuwa Mungu ndie anayepanga mnaweza kuwa Familia moja,, Hoja yake na mafikilio yapo vizuri Sana unajua nini? Sisi wanaume tunasoma future ya mwanamke na uwajibikaji wa mwanamke kwa mumewe inawezekana bado upo kwenye maisha ya penzi la kuigiza kwakuwa unatafuta ndoa! Sasa hivi hofu kubwa ni kuingia kwenye mahusiano magumu ambayo mwanamke siku Zote maisha halisi anaishi akisha Pata ndoa, ila kwenye uchumba ni maigizo haswaaaa na inaweza chukua hata miaka 5 mwanamke anaigiza! Skia kwa muda wa miez 6 haitoshi kusema mmesomana vyakutosha tabia na mienendo yenu hapo unaweza kuta msela mnakutana kwa matukio muhimu, ila kitu chakufanya washirikishe ndugu zako hususani mashangazi, mama yako, bibi yako usikie maoni yako na ikiwezekana mkaribishe nyumbani kwenu ili wamsome vizuri, ishu ya mahusiano ambayo unahisi ni commitment usiombe ushauri kwa rafiki yako wa kike shirikisha ndugu! Ukitoa mualiko kwa mwamba Kuja kwenu sio kumtambulisha hrf akawa amesita au akihoji Sana maswal yakukutoa nje ya Mada hiyo ni ishara moja wapo inabidi kuchukua tahadhari!
Jitahidi Sana usipende kihisia, penda kwa kuhitaji ili ikifika hatua ya hisia wote mtawajibika! Hayo uliyotoa wewe ni malalamiko ambayo njia ya utatuzi ipo kwako mwenyewe hebu fikilia na uamue nini chakufanya.
 
Any way, kuwa nae makini anaonekana yuko kwako kimaslahi (sex), mtu hana mipango, future hata anakoishi pia hupajui ? Hii sio afya kabisa
Kusema yupo kwaajili ya sex utakuwa umemuonea.. hata huwa hayupo hivyo yaani tunaweza kukaa muda mrefu hatu sex tunaonana tu tunatoka out story nyingi ni mara chache sana yeye atake mimi Ndio mara nyingi nataka sex 🫣
 
Pole sana, ni mapema sana kumuuliza malengo ungesubiri hata mfike mwaka shosti, sasa hapo kakuona una kiherehere cha ndoa.

Kwa maelezo yako huyo ni mwanaume ana mtu wake wewe ni kama mchepuko. Kaa kijanja.
 
Kusema yupo kwaajili ya sex utakuwa umemuonea.. hata huwa hayupo hivyo yaani tunaweza kukaa muda mrefu hatu sex tunaonana tu tunatoka out story nyingi ni mara chache sana yeye atake mimi Ndio mara nyingi nataka sex 🫣
Kuna sehemu anapoipata ndiyo maana hakisumbui umpe
 
Nimeshangaa na mimi, na bado kampa bonus ya 12 months kama kumvumilia.
Mkuu ndani ya miezi 6 ilobakia naamini kuna mtu atapatikana humohumo ndani ya mahusiano

Sasa unataka nimuache saivi nikatafute mwingine niendelee kuongeza idadi
Huyu kama hatokuwa wa mwisho basi nitasubiri wakuleta mahari tu ila sasa kwa sasa huyu atatumika kumaliza upwiru
 
miezi 6 ya mahusiano
---
Sasa ni hivi mimi huyu kijana sifahamu mahali anapoishi na nimejaribu kumwambia hata akanioneshe wapi anaishi amekuwa akinipiga kalenda.. hili sio shida sana labda kwasababu mahusiano bado machanga
---
Ukweli ni huu:
  • Kwa muoaji - mwezi mmoja tu unatosha kuweza kubaini hili.
  • Huyu wako ni mpitaji ndio sababu hataki ufahamu anakoishi.
  • Amka chukua hatua.
 
Nishamjua huyo ni Filipo ndo alivo hapo soon anakublock inakuwa imeisha hiyo
 
---

---
Ukweli ni huu:
  • Kwa muoaji - mwezi mmoja tu unatosha kuweza kubaini hili.
  • Huyu wako ni mpitaji ndio sababu hataki ufahamu anakoishi.
  • Amka chukua hatua.
Kuna sababu fulanifulani nimehisi ndio zinamfanya akatae mimi nisiende kwake nashindwa kuziweka hapa maana nitafungua code
Ila sasa ndio hilo jambo lingine la hatima ndio lanivuruga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…