Hapa kuna upendo au natumika nifungueni macho

Ooh
Kwaiyo nifanye nini je ni mapema miezi hiyo 6 niendelee kuvuta subira au nimteme
Usimteme ila ukweli mchungu huyo Mwanaume ana mahusiano mengine na ana malengo nayo hapo kaa mguu ndani mguu nje.
 


Hivi hadi uko kazini na hicho kichwa chako kiko hivyo? Kapime usikute huna ubongo
 
Usimteme ila ukweli mchungu huyo Mwanaume ana mahusiano mengine na ana malengo nayo hapo kaa mguu ndani mguu nje.
Yeah ni ukweli dear hakuwa ananisubiri mimi anitongoze huenda anapima wapi ajilipue napo sema ndio hivyo ya Mungu mengi naweza Potenza muda for nothing

Nimempa tena miezi 3 nione kama kuna any changes if not Nita move on
 
Mwanaume akikupenda atakuoa.
Ila kabla ya kukuoa atafanya intelijensia ya hali ya juu. Maswali ya msingi kutaka kukufahamu zaidi pamoja na wanaokuzunguka.

Ukiona hamna intelijensi yoyote, sasa endeleeni kuvuziana; yaani we kula 'ela' zake nayeye 'ale' kimfaacho.

Ni vema ukafabya maarifa ili kama hafanyi intelijensia aweze kufanya maana uasherati na ukausha damu haujawahi kuwa na mwisho mwema, sio kimwili tu, bali kiroho, kiakili na kinafsi
 
Ambacho nina kiwaza kichwani wangu nimtoe kwenye ile nafasi ambayo nimemuweka nimrudishe chini kabisa nijiandae kwa lolote

NAKAZIA,wasiwasi ni akili
 
Inafanyikaje hiyo intelligence mkuu
 
Yeah ni ukweli dear hakuwa ananisubiri mimi anitongoze huenda anapima wapi ajilipue napo sema ndio hivyo ya Mungu mengi naweza Potenza muda for nothing

Nimempa tena miezi 3 nione kama kuna any changes if not Nita move on
Hiyo mada ya kufahamu anapo ishi kwanza achana nayo we kuwa kama upo na rafiki sio mpenzi kwa miezi hiyo kwa Mwanaume anaye jielewa ukimya wako utamstua na kuchukua hatua kwa maana hatokuwa tayari kukupoteza kwa sababu ndogo kama hiyo.
 
Huyo usikute ana mke na watoto
 
Dada umesema unaomba mwenye kuelewa haya mambo akupe ushauri!, Ni hivi sisi wenyewe yanatuchapa kama wewe hatuyaelewi yaani hayana muongozo hivyo pambana na zimwi lako nasisi kwa nafasi zetu tutapambana na mazimwi yetu!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…