CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
NALIONA KOSA LINGINE KWENYE SAJILI ZINAZOENDELEA NDANI YA SIMBA.
Nimesikitishwa Sana na Usajili wa Simba uliofanyika siku ya Leo.
Watu wote tukiamini kwamba hii ndio sehemu uliyoigharimu Simba msimu wa 2021-22. Kutokana na washambuliaji wake watu Mugalu, Boko na kagere kutokufikisha hata idadi ya Magoli 10 katika michezo zaidi ya 46.
Nilitegemea uongozi utaanzia hapana kufanya marekebisho ndani ya kikosi kwa kuwaondo wote watu ama .
Baadaye kutafuta washambuliaji wawili wa Maana kama MAYELE.
YANI TULITEGEMEA MTU KAMA MANZOKI AKISHIRIKIANA NA PHILI.
Leo wanatuletea mserbia ambayeMazingira ya Afrika ni magumu sana.
..Hali ya hewa.
...utamaduni.
...Ushirikina
Na yote Mengineyo
HAKUNA MZUNGU ALIYEWAHI KUFANYA VIZURI KWENYE SOKA LA BONGO.