joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kaka GENTAMYCINE una lolote la kuongezea, manake jezi tu zimetoka ulaya, striker katoka ulaya na ukizingatia jana watani zenu tumepigwa ndio kabisa,ila nyie msimu huu,mpo kiulaya ulaya tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania hawaishiwi maneno daa!NALIONA KOSA LINGINE KWENYE SAJILI ZINAZOENDELEA NDANI YA SIMBA.
Nimesikitishwa Sana na Usajili wa Simba uliofanyika siku ya Leo.
Watu wote tukiamini kwamba hii ndio sehemu uliyoigharimu Simba msimu wa 2021-22. Kutokana na washambuliaji wake watu Mugalu, Boko na kagere kutokufikisha hata idadi ya Magoli 10 katika michezo zaidi ya 46.
Nilitegemea uongozi utaanzia hapana kufanya marekebisho ndani ya kikosi kwa kuwaondo wote watu ama .
Baadaye kutafuta washambuliaji wawili wa Maana kama MAYELE.
YANI TULITEGEMEA MTU KAMA MANZOKI AKISHIRIKIANA NA PHILI.
Leo wanatuletea mserbia ambayeMazingira ya Afrika ni magumu sana.
..Hali ya hewa.
...utamaduni.
...Ushirikina
Na yote Mengineyo
HAKUNA MZUNGU ALIYEWAHI KUFANYA VIZURI KWENYE SOKA LA BONGO.
Yaani wabongo ni watu ajabu Sana.Watanzania hawaishiwi maneno daa!
Likiwa pendekezo la kocha mnacritisize mchezani mzungu....wakisajili Simba wenyewe utaskia hao wachezani pendekezo la kocha au viongozi....
ACHA UJUAJI BRAZANALIONA KOSA LINGINE KWENYE SAJILI ZINAZOENDELEA NDANI YA SIMBA.
Nimesikitishwa Sana na Usajili wa Simba uliofanyika siku ya Leo.
Watu wote tukiamini kwamba hii ndio sehemu uliyoigharimu Simba msimu wa 2021-22. Kutokana na washambuliaji wake watu Mugalu, Boko na kagere kutokufikisha hata idadi ya Magoli 10 katika michezo zaidi ya 46.
Nilitegemea uongozi utaanzia hapana kufanya marekebisho ndani ya kikosi kwa kuwaondo wote watu ama .
Baadaye kutafuta washambuliaji wawili wa Maana kama MAYELE.
YANI TULITEGEMEA MTU KAMA MANZOKI AKISHIRIKIANA NA PHILI.
Leo wanatuletea mserbia ambayeMazingira ya Afrika ni magumu sana.
..Hali ya hewa.
...utamaduni.
...Ushirikina
Na yote Mengineyo
HAKUNA MZUNGU ALIYEWAHI KUFANYA VIZURI KWENYE SOKA LA BONGO.
Sasa huyo mawele hizo goli 10 msimu huu itabidi mjumlishe na za pre season.NALIONA KOSA LINGINE KWENYE SAJILI ZINAZOENDELEA NDANI YA SIMBA.
Nimesikitishwa Sana na Usajili wa Simba uliofanyika siku ya Leo.
Watu wote tukiamini kwamba hii ndio sehemu uliyoigharimu Simba msimu wa 2021-22. Kutokana na washambuliaji wake watu Mugalu, Boko na kagere kutokufikisha hata idadi ya Magoli 10 katika michezo zaidi ya 46.
Nilitegemea uongozi utaanzia hapana kufanya marekebisho ndani ya kikosi kwa kuwaondo wote watu ama .
Baadaye kutafuta washambuliaji wawili wa Maana kama MAYELE.
YANI TULITEGEMEA MTU KAMA MANZOKI AKISHIRIKIANA NA PHILI.
Leo wanatuletea mserbia ambayeMazingira ya Afrika ni magumu sana.
..Hali ya hewa.
...utamaduni.
...Ushirikina
Na yote Mengineyo
HAKUNA MZUNGU ALIYEWAHI KUFANYA VIZURI KWENYE SOKA LA BONGO.
Mbona huwa hamrog World Cupmleta mada kasema ukweli najua wametegesha manzoki wamchukue hadi december dirisha dogo , lakini dah nilidhani wangeenda nchi ya kiafrika kuleta striker linalojua uchawi ni nini, atalogwa sna huyu mzungu, sijafurahi
Uko sahihi sana.Mfano Petro Atletico du Luanda wamefika nusu fainali ya CAFCL msimu huu wakiwa na wazungu/Wabrazil na Wareno.Jamaa walikuwa wanakichafua kweli kweli.Suala msingi tuombee asiwe majeruhi wa mara kwa mara.Endelea kukariri maisha,Nurcovic wa kaizer chief ulimwona shughuli yake?
Aisee bongo tam san...
Hali ya viwanja vibovu ni kila seheme jana tu klop kadroo anasingizia uwanja ulikuwa mkavuHuyu mzungu akacheze eti Songea au Mbeya kisha a perform vizuri ni kudanganyana.
We kima unajua hesabu kweli? Au unabweka bweka tuMechi 258 Magoli 51.
Inamaana mechi 207 hajafunga goli hata Moja.
Linganisha ligi yako kama inafanana na aliko chezaMechi 258 Magoli 51.