Hapa kwa mzungu tumepigwa.

Hapa kwa mzungu tumepigwa.

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
NALIONA KOSA LINGINE KWENYE SAJILI ZINAZOENDELEA NDANI YA SIMBA.

Nimesikitishwa Sana na Usajili wa Simba uliofanyika siku ya Leo.

Watu wote tukiamini kwamba hii ndio sehemu uliyoigharimu Simba msimu wa 2021-22. Kutokana na washambuliaji wake watu Mugalu, Boko na kagere kutokufikisha hata idadi ya Magoli 10 katika michezo zaidi ya 46.

Nilitegemea uongozi utaanzia hapana kufanya marekebisho ndani ya kikosi kwa kuwaondo wote watu ama .

Baadaye kutafuta washambuliaji wawili wa Maana kama MAYELE.
YANI TULITEGEMEA MTU KAMA MANZOKI AKISHIRIKIANA NA PHILI.

Leo wanatuletea mserbia ambayeMazingira ya Afrika ni magumu sana.
..Hali ya hewa.
...utamaduni.
...Ushirikina
Na yote Mengineyo

HAKUNA MZUNGU ALIYEWAHI KUFANYA VIZURI KWENYE SOKA LA BONGO.
 
Ondoka kwenye dimbwi la primitive minds. Tupo kwenye modern football. Mambo ya uchawi na ushirikina peleka UTOPOLO.
mleta mada kasema ukweli najua wametegesha manzoki wamchukue hadi december dirisha dogo , lakini dah nilidhani wangeenda nchi ya kiafrika kuleta striker linalojua uchawi ni nini, atalogwa sna huyu mzungu, sijafurahi
 
Mpira ukipigwa wenyewe bila hayo mengine matokeo ndo kama ya siku ya mwananchi na huenda hata siku ya mnyama, tubadilike dunia iko kwingine au nasema uongo ndugu zangu.
 
Huo ni upumbavu, Kuendekeza fikra za kijima. Sasa ni modern era hizo imani hazipo.
Acha kukaza shingo mwafrica
Hizo mambo zipo sana
Cha msingi ni uongozi utoe kalipio Kali kwa yeyote atayeonekana kujihusisha na vitendo hivyo

Timu inatumia gharama kubwa sana kusajiri
 
Huo ni upumbavu, Kuendekeza fikra za kijima. Sasa ni modern era hizo imani hazipo.
kamuulize Tores kilichomkuta baada ya Drogba kuwasiliana na wazee wa ivory coast...nakuambia kwa mara ya kwanza safari hii mnigeria kiungo atadumu pale simba maana Fraga uchawi aliopigwa, duh
 
Naomba Sana viongozi wa Simba wanisikie wambakize Mugalu. Vinginevyo striker wa kudumu atakuwa John Boko.
 
kama kina mugalu, sarpong na wengineo kutoka afrika walichoreshwa na uchawi hapa sembuse huyo mzungu? yani huyo hata ustaadhi wa tandale ana m- fix kirahisi sana, kagere ilifika point akawa hasalimiani na mtu pale simba anaingia kufanya warm up kageuza jersey
 
Kwani Simba si juzi tu waliwasha moto uwanjani?Uongozi gani huo wa kukemea ushirikina?
UDI wa kufukuza mapepo ya orlando pirates, we vipi kuna team wachawi south africa kama pirates? search google TEKO MODISE ORLANDO PIRATES MUTHI...huyo ni star wao wa zamani katoa kitabu anaelezea jinsi pirates wanavyologa
modise.JPG
 
NALIONA KOSA LINGINE KWENYE SAJILI ZINAZOENDELEA NDANI YA SIMBA.

Nimesikitishwa Sana na Usajili wa Simba uliofanyika siku ya Leo.

Watu wote tukiamini kwamba hii ndio sehemu uliyoigharimu Simba msimu wa 2021-22. Kutokana na washambuliaji wake watu Mugalu, Boko na kagere kutokufikisha hata idadi ya Magoli 10 katika michezo zaidi ya 46.

Nilitegemea uongozi utaanzia hapana kufanya marekebisho ndani ya kikosi kwa kuwaondo wote watu ama .

Baadaye kutafuta washambuliaji wawili wa Maana kama MAYELE.
YANI TULITEGEMEA MTU KAMA MANZOKI AKISHIRIKIANA NA PHILI.

Leo wanatuletea mserbia ambayeMazingira ya Afrika ni magumu sana.
..Hali ya hewa.
...utamaduni.
...Ushirikina
Na yote Mengineyo

HAKUNA MZUNGU ALIYEWAHI KUFANYA VIZURI KWENYE SOKA LA BONGO.
Si unajua mzungu hakosei.
 
Huyu mzungu akacheze eti Songea au Mbeya kisha a perform vizuri ni kudanganyana.
 
.
 
Attachments

  • Screenshot_20220807-180412.png
    Screenshot_20220807-180412.png
    63 KB · Views: 3
Back
Top Bottom