Hapa kwa mzungu tumepigwa.

Kaka GENTAMYCINE una lolote la kuongezea, manake jezi tu zimetoka ulaya, striker katoka ulaya na ukizingatia jana watani zenu tumepigwa ndio kabisa,ila nyie msimu huu,mpo kiulaya ulaya tu.
 
Lunyasi wanna msebia huku Singida b.s wana wabrazil
 
Watanzania hawaishiwi maneno daa!
Likiwa pendekezo la kocha mnacritisize mchezaji mzungu....wakisajili Simba wenyewe utaskia hao wachezani pendekezo la kocha au viongozi....
 
Acha watu wacheze ushasikia wapi mzungu analogeka
 
ACHA UJUAJI BRAZA
 
Sasa huyo mawele hizo goli 10 msimu huu itabidi mjumlishe na za pre season.
 
Endelea kukariri maisha,Nurcovic wa kaizer chief ulimwona shughuli yake?
Uko sahihi sana.Mfano Petro Atletico du Luanda wamefika nusu fainali ya CAFCL msimu huu wakiwa na wazungu/Wabrazil na Wareno.Jamaa walikuwa wanakichafua kweli kweli.Suala msingi tuombee asiwe majeruhi wa mara kwa mara.
 
Huyu mzungu akacheze eti Songea au Mbeya kisha a perform vizuri ni kudanganyana.
Hali ya viwanja vibovu ni kila seheme jana tu klop kadroo anasingizia uwanja ulikuwa mkavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…