Hapa kwa mzungu tumepigwa.

Endelea kusikitika brother, ila ngoja tuone mwisho wake badala ya kuhukumu mapema.
 
mleta mada kasema ukweli najua wametegesha manzoki wamchukue hadi december dirisha dogo , lakini dah nilidhani wangeenda nchi ya kiafrika kuleta striker linalojua uchawi ni nini, atalogwa sna huyu mzungu, sijafurahi
Je wale wa Brazil wa timu fulani kwanini msiwashauri na wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…