kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Umesahau mapema hiviOndoka kwenye dimbwi la primitive minds. Tupo kwenye modern football. Mambo ya uchawi na ushirikina peleka UTOPOLO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau mapema hiviOndoka kwenye dimbwi la primitive minds. Tupo kwenye modern football. Mambo ya uchawi na ushirikina peleka UTOPOLO.
Endelea kusikitika brother, ila ngoja tuone mwisho wake badala ya kuhukumu mapema.NALIONA KOSA LINGINE KWENYE SAJILI ZINAZOENDELEA NDANI YA SIMBA.
Nimesikitishwa Sana na Usajili wa Simba uliofanyika siku ya Leo.
Watu wote tukiamini kwamba hii ndio sehemu uliyoigharimu Simba msimu wa 2021-22. Kutokana na washambuliaji wake watu Mugalu, Boko na kagere kutokufikisha hata idadi ya Magoli 10 katika michezo zaidi ya 46.
Nilitegemea uongozi utaanzia hapana kufanya marekebisho ndani ya kikosi kwa kuwaondo wote watu ama .
Baadaye kutafuta washambuliaji wawili wa Maana kama MAYELE.
YANI TULITEGEMEA MTU KAMA MANZOKI AKISHIRIKIANA NA PHILI.
Leo wanatuletea mserbia ambayeMazingira ya Afrika ni magumu sana.
..Hali ya hewa.
...utamaduni.
...Ushirikina
Na yote Mengineyo
HAKUNA MZUNGU ALIYEWAHI KUFANYA VIZURI KWENYE SOKA LA BONGO.
Je wale wa Brazil wa timu fulani kwanini msiwashauri na wao?mleta mada kasema ukweli najua wametegesha manzoki wamchukue hadi december dirisha dogo , lakini dah nilidhani wangeenda nchi ya kiafrika kuleta striker linalojua uchawi ni nini, atalogwa sna huyu mzungu, sijafurahi
Sasa hapo ndio uchawi!? Acha ujinga.Umesahau mapema hivi
View attachment 2317353