Hapa kwetu Tanzania msanii gani unafikiri ni mkali wa miondoko ya R&B?

Hapa kwetu Tanzania msanii gani unafikiri ni mkali wa miondoko ya R&B?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Binafsi kete naitupa kwa TID na Marioo hapo ni upande wa wasanii wakiume kwa wakike nafikiri maunda zorro na Vumi.

TID

Mario

Maunda

Vumi
 
Back
Top Bottom