Hapa kwetu Tanzania msanii gani unafikiri ni mkali wa miondoko ya R&B?

Hapa kwetu Tanzania msanii gani unafikiri ni mkali wa miondoko ya R&B?

Sema huyu jamaa anafaa kila kona ni kama kilaka usiombe umkute anachana
mara nyingi wanaofanya mziki wa R&B wanaweza pia kufanya rap fatilia hicho kitu japo sio kwa wote, na hii huwa ni ile soft rap sio hard.
 
Hakukuwa na haja ya kuanzisha uzi wa kuuliza swali juu ya hilo, kwa maana hakuna mkali wa R&B bongo hii zaidi ya Ben Paul.

Tunamkosea sana, hatumpi heshima stahiki.
ukisoma kichwa cha uzi nimeandika "unafikiri" hivyo ni maoni binafsi! hatutafuti number one hapa,kama huyo kwa upande wako ndio top one hakuna matata!
 
Back
Top Bottom