Hapa kwetu Tanzania msanii gani unafikiri ni mkali wa miondoko ya R&B?

Hapa kwetu Tanzania msanii gani unafikiri ni mkali wa miondoko ya R&B?

R&B watu wengi hawaijui ni mziki wa aina gani, zaidi ya kuchanganya mafaili.

Jux zaman alikuw anaimba R&B ila kwa sasa anaimba genre tofauti tofauti.

Mfn Maunda yeye alikuw anaimba something like Zouk.. hata Vumi pia.

R&B bongo ni kizungumkuti sana..
 
Hiyo ngoma ya TID ina balaa kuanzia productuon ina quality na melody zimeenda shule. Sijajua kwa nini huo wimbo uko underrated sana
Sababu uliimbwa kwa R&B format ambapo wabongo walikuwa hawaipi uzito au kuikubali. Yaani walioimba R&B wote wali-switch sababu ulikua ni muziki usiokubalika au ambao media havikuupaisha. Wengi wakaimba zouk ambayo ndio ilikubalika sana

Sikiliza wimbo kama wa Stara Thomas ft Posh T - nyuma sitorudi.. ni bonge la ngoma ila haijulikani kabisa na wengi humu. Nashindwa ku-upload audio file iwe kama alivyoweka mleta mada
 

Attachments

Back
Top Bottom