Hapa kwetu Tanzania msanii gani unafikiri ni mkali wa miondoko ya R&B?

TID alikuwa vizuri sana
Halafu kuna mwamba mwenyewe Rama dee .

Kizazi cha kati hapa hakuna kama.Ben pol wazee nyie mpeni heshima yake
 
Belle 9 anafanya miondoko ipi wakuu ??
 
Mkuu naomba unielekeze namna ya ku-upload audio files ili ziwe kwa muonekano kama wako na sio kama normal attachment
 
Mkuu naomba unielekeze namna ya ku-upload audio files ili ziwe kwa muonekano kama wako na sio kama normal attachment
ukisha upload file lako kuna sehemu utaona pameandikwa "insert" unaclick hapo hilo file litatokea kwenye kiboma chakuandikia komenti then unapost ni hivyo tu
Your browser is not able to play this audio.
 
Mkuu naomba unielekeze namna ya ku-upload audio files ili ziwe kwa muonekano kama wako na sio kama normal attachment

angalia hizi picha ndo, kubla sija insert na nikisha insert inavyoonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…