Hapa lazima Marioo kaona utupu wa mkwe

Hapa lazima Marioo kaona utupu wa mkwe

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
Hivi Marioo na Paula mwenyewe hujiskiaje wanapokuwa wakiona utupu wa mzazi (mkwe)?

[emoji116]Hii ni picha mpya aliyochapisha muigizaji Kajala Masanja au mama mzazi wa Paula,Nadhani ifike muda watu hususani maarufu wafikiri kuhusu maisha ya kesho na vizazi vijavyo+teknolojia.

Upakiaji wa picha au picha mjongeo zenye maudhui dharimu zaweza kuathiri watoto wetu,ndugu na jamaa kama hatutazingatia maudhui sahihi ya kuchapisha.

Mfano,Crish mtoto wa Irene Uwoya na watoto wa Tessy,Lulu Diva,Umberruty nk.Wanajiskiaje wanapoona tupu zao tena wakiingiliwa mtandaoni?
Screenshot_20230719-181658_Instagram.jpg
 
Huyo mzazi kazi yake ni nini ?

Sio mtu anakuwa model anatangaza Lingerie unataka avae baibui !!!!

To each their own....

1689781765156.png


Hata leo hapa wakija watu wa Imani nitawapinga kwa kuwauliza kwenye maandiko yao kama Adam; Hawa; Eva; Chausiku (no matter you wanna call them kama walivaa nguo)

By the way nguo zingekuwa part ya binadamu basi binadamu wangezaliwa na suti / shuka
 
Back
Top Bottom