Hapa lazima Marioo kaona utupu wa mkwe

Kwahyo ndgu ungependa dunia itembee uchi labda au?
 
Mwanamke body
 
Umeongea vizuri sana
 
Kwahyo ndgu ungependa dunia itembee uchi labda au?
Nope mimi sipo huko ndio maana siwezi kwenda kwenye nudity beaches n.k. I am a private person who keep things private (but that is me) hata nikiona watu wanafanya mambo nawashauri wa-get a room - Ila siwezi kuperuzi sehemu ambapo; models wanafanya modelling au beach watu wamevaa bikini au watu wanafanya sun bathing wapo kifua wazi alafu nikalaumu....

Hayo mambo ya kuzaliwa uchi nawapinga wale wanaotumia kigezo cha dini watu kutokuvaa nguo..., Pia wale wanaotumia maadili ya kiafrika ninawashauri warudi nyuma kidogo tu watakuta bibi zao wanatembea kivua wazi....

Its all in perspective akitembea hivyo mtaani tutashangaa ila sio kwenye album yake au kajipiga picha kwenye simu wewe unakwenda kuifukunyua alafu unaleta lawama....
 
Kwa sasa bongo si bahati mbaya
 
We unamsikilizq huyo kenge?. Ina mana nishindwe kujichua kisa nimekosa video jf?. Nahitaj pruv kuwa hizo video zipo kweli mana hapa sio sehem ya kwNza kusikia habar za hiz video kuwepo
Eee zipo mdogo wangu ata mi nmeziona bila chenga hata ya yule mtumishi aliyekula kondoo pia[emoji16][emoji120]
 
Mkuu umeongea vzur maana umegusa pande zote ila mhusika kaweka sehemu ya hadhara kiasi kwamba ukiwasha mtandao tu unakutana nayo[emoji120]
 
Hao bibi waliishi Gizani matamanio hayakuwepo Wala ngono haikutumika Kama burudani bali hitaji la kuzaa watoto.
 
Hao bibi waliishi Gizani matamanio hayakuwepo Wala ngono haikutumika Kama burudani bali hitaji la kuzaa watoto.
Aisee !!! Kwamba kutamani na burudani ya ngono ime-evolve kwenye kizazi hiki hapo zamani ilikuwa haipo ? Kwa taarifa yako kitu kikiwa open / wazi kikazoeleka mwisho wa siku kinakuwa cha kawaida na wala watu hawashangai tena ndio maana kuna vitu vinaitwa fetish (hata nguo inaweza ikawa sexy zaidi kuliko mtu aliye uchi); tena huenda mwingine ndio akatisha

Kwahio kwa argument yako ukienda nudity beaches ni kwamba watu wanabakana mwanzo mwisho ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…