Hapa lazima Marioo kaona utupu wa mkwe

Ukweli tujifunze kuvumiliana na kuchukuliana nlikuwa nasema sitakaa nikule shemu wangu kuna Dada alijua kunitega nkampita nae japo roho iliniuma .ila nilielewa some kuwa niche kuhukumu watu mm sio Mungu
Ndio ivyo
 
Eti hizi picha zitaathiri watoto wetu, hao watoto wenyewe sasa 🤣
Au unatuona hatujawahi kuwa watoto? We unafikiri picha kama hizi zimetuathiri nini?
 
Kupaona mwenza wako alipotokea (mkeo ama demu wako) si mbaya, ni suna kwa sisi tulisomea kyuba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…