Hapa Lissu amefeli tena

Hapa Lissu amefeli tena

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Lissu alisema CHADEMA wanaenda kujifungia halafu watakuja na azimio gumu la no reform no election.

Cha ajabu wanahifungia hotel ya kifahari ya nyota 5 halafu waje na azimio gumu.

Hotelini ni sehemu ya starehe na burudani na sio sehemu ya hasira. Hotel sehemu ya kumpumzika sio sehemu ya kufikiria na kutia hasira

Nani anaetaka kufanya mambo magumu kikao kikafanyika hotel ya kifahari? Hii kikao ni cha kujipongeza kwa ushindi ili kunywa na kula .

Time will tell

Chawa wa Lissu njooni hoja kwa hoja
 
Wewe Bata unakula kwenye Hitma

Hao Chadema ni Watu wa Bata hawatembei na pilipili mifukoni kama wewe

Hotel ya 5 🌟 Kawaida sana kwao 😀
 
Lazima kichwa kitulie ili uje na maamuzi magumu
 
Lissu alisema CHADEMA wanaenda kujifungia halafu watakuja na azimio gumu la no reform no election.

Cha ajabu wanahifungia hotel ya kifahari ya nyota 5 halafu waje na azimio gumu.

Hotelini ni sehemu ya starehe na burudani na sio sehemu ya hasira. Hotel sehemu ya kumpumzika sio sehemu ya kufikiria na kutia hasira

Nani anaetaka kufanya mambo magumu kikao kikafanyika hotel ya kifahari? Hii kikao ni cha kujipongeza kwa ushindi ili kunywa na kula .

Time will tell

Chawa wa Lissu njooni hoja kwa hoja
Kwaiyo amafeli kuliko ccm kubeba wasanii nchi nzima kuwaweka dom?
 
Lissu alisema CHADEMA wanaenda kujifungia halafu watakuja na azimio gumu la no reform no election.

Cha ajabu wanahifungia hotel ya kifahari ya nyota 5 halafu waje na azimio gumu.

Hotelini ni sehemu ya starehe na burudani na sio sehemu ya hasira. Hotel sehemu ya kumpumzika sio sehemu ya kufikiria na kutia hasira

Nani anaetaka kufanya mambo magumu kikao kikafanyika hotel ya kifahari? Hii kikao ni cha kujipongeza kwa ushindi ili kunywa na kula .

Time will tell

Chawa wa Lissu njooni hoja kwa hoja
Wacha Lissu na Timu yake wale vya mwishomwisho vilivyoachwa na Mbowe. Baada ya hapo vikao Kidimbwi gharama za kikao ni vinywaji! Ahahahahaha!!!
 
Lissu alisema CHADEMA wanaenda kujifungia halafu watakuja na azimio gumu la no reform no election.

Cha ajabu wanahifungia hotel ya kifahari ya nyota 5 halafu waje na azimio gumu.

Hotelini ni sehemu ya starehe na burudani na sio sehemu ya hasira. Hotel sehemu ya kumpumzika sio sehemu ya kufikiria na kutia hasira

Nani anaetaka kufanya mambo magumu kikao kikafanyika hotel ya kifahari? Hii kikao ni cha kujipongeza kwa ushindi ili kunywa na kula .

Time will tell

Chawa wa Lissu njooni hoja kwa hoja
Tafuta bwana mwingine lissu ni mkatoliki hatumii yas marinda kama yanakuwasha weka chill source
 
Lissu alisema CHADEMA wanaenda kujifungia halafu watakuja na azimio gumu la no reform no election.

Cha ajabu wanahifungia hotel ya kifahari ya nyota 5 halafu waje na azimio gumu.

Hotelini ni sehemu ya starehe na burudani na sio sehemu ya hasira. Hotel sehemu ya kumpumzika sio sehemu ya kufikiria na kutia hasira

Nani anaetaka kufanya mambo magumu kikao kikafanyika hotel ya kifahari? Hii kikao ni cha kujipongeza kwa ushindi ili kunywa na kula .

Time will tell

Chawa wa Lissu njooni hoja kwa hoja
Mwaka huu lazima upate kiharusi kwa kumuwaza Lissu. Ni ujinga kukaa humu 24/7 kumshambulia mtu ambaye wala hana muda na wewe. Ulifanya hivyo wakati wa mchakato wa uchaguzi ukiamini kuwa hekaya zako zingemnyima uenyekiti lakini umeshindwa sasa unaendeleza upuuzi ule ule unafikiri waliomchagua watakosa imani naye kwa haya majungu yako? Unatwanga maji kwenye kitu utaishia kujilowesha tu.
 
Ulitaka wajifungie kwa Mama Ntilie ndio uone wako Serious? 😳
 
Jibu hoja usilete matusi ya BAVICHA
 
Ulitaka wajifungie kwa Mama Ntilie ndio uone wako Serious? 😳
Huyo mkojani amefeli kupata umaarufu kwa mada zake za udini sasa anatafuta umaarufu kwa kutumia jina la Lissu, kwa siku moja anaanzisha nyuzi zaidi ya kumi kumshambulia Lissu.
 
Hako kapuuzi sijui Ndugai walikapiga chini faster, kalikuwa kanajiona kanaishi hewani, cheo alitumia kubana upinzani na aliigeuza nafasi ya spika iwe chawa wa Raisi na CCM, nasikia kalifungiwa basement
 
Lissu alisema CHADEMA wanaenda kujifungia halafu watakuja na azimio gumu la no reform no election.

Cha ajabu wanahifungia hotel ya kifahari ya nyota 5 halafu waje na azimio gumu.

Hotelini ni sehemu ya starehe na burudani na sio sehemu ya hasira. Hotel sehemu ya kumpumzika sio sehemu ya kufikiria na kutia hasira

Nani anaetaka kufanya mambo magumu kikao kikafanyika hotel ya kifahari? Hii kikao ni cha kujipongeza kwa ushindi ili kunywa na kula .

Time will tell

Chawa wa Lissu njooni hoja kwa hoja
Una mimba ya lisu, subiri miezi 9 ujifungue au kama huitaki fanya abortion tu.
 
Yaani huyu Malaria kwa michango yake humu ,atakuwa ni Mwanamke mwenye sifa zifuatazo÷
i.Wivu usio wa maendeleo
ii..Gubu
iii .Kisirani
iv.Mshirikina
Namuoneo huruma huyo Mwanaume aliyemuweka kinyumba..SIO KWA CHUKI HIZI KWA MTANGANYKA mwenzio
 
Lissu alisema CHADEMA wanaenda kujifungia halafu watakuja na azimio gumu la no reform no election.

Cha ajabu wanahifungia hotel ya kifahari ya nyota 5 halafu waje na azimio gumu.

Hotelini ni sehemu ya starehe na burudani na sio sehemu ya hasira. Hotel sehemu ya kumpumzika sio sehemu ya kufikiria na kutia hasira

Nani anaetaka kufanya mambo magumu kikao kikafanyika hotel ya kifahari? Hii kikao ni cha kujipongeza kwa ushindi ili kunywa na kula .

Time will tell

Chawa wa Lissu njooni hoja kwa hoja
Ukiwahi matibabu utapona.
 
Amakweli Malaria imepanda kama sii mezani,kichwani.
 
Back
Top Bottom