Lissu alisema CHADEMA wanaenda kujifungia halafu watakuja na azimio gumu la no reform no election.
Cha ajabu wanahifungia hotel ya kifahari ya nyota 5 halafu waje na azimio gumu.
Hotelini ni sehemu ya starehe na burudani na sio sehemu ya hasira. Hotel sehemu ya kumpumzika sio sehemu ya kufikiria na kutia hasira
Nani anaetaka kufanya mambo magumu kikao kikafanyika hotel ya kifahari? Hii kikao ni cha kujipongeza kwa ushindi ili kunywa na kula .
Time will tell
Chawa wa Lissu njooni hoja kwa hoja