InvisibleTarget
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,138
- 2,176
mia mkuu.Hamsini gawanya kwa nusu unapata ngapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mia mkuu.Hamsini gawanya kwa nusu unapata ngapi ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ilo neno uchawi ndo liliwaharibu.but kwa mtazamo unauoyajua ww na kuamin ndo yako sawa sio mbaya but ni vema kujua wengine wanasemaje pia usiogope sana ukikuta wanachosema ni kinyume na unavo amin au jua wwNi ujinga kufikiri mawazo ya mtu mwingine na kuyaamini , ujinga wa watu wengine usiwe ujinga qa wote.
Kama maumbo yana siri , ni ipi? Unadhani kuna siri ktk umbo mstatili amabalo limefichwa?
Hiyo ni imani , hata uchawi ni imani
Uko huru kuamini uchawi au ujinga au werevu wa mtu mwingine ukichagua.
Bandiko halina maana kabisa, na linaonesha jinsi ambavyo copy and paste inaathiri mfumo wetu.
Stay safe COVID-19 IPO
Jikinge kwa kunawa na sabuni
Epuka mikusanyiko isiyo lazima
Vaa mask mahari sahihi,wakati sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
so how to access to the consiousness or the source
Kama hutajali unaweza simulia kidogo
Kuhusu sumu iliyowahi kumwagwa kwenye mto Nile ...ikauwa waafrika na wazungu wakaweka anti dote yake Kwa divai ya kanisani?
Naamini hii story unaijua
Ahsante Mkuu, ila naona bado umetuficha khs mada husika, hebu tupe japo kdg hasa msalaba na ile obelisk
Hahahaha nataka niwe learner kujua haya mambo[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji23]
HaswaaMkuu tupe hata vitabu tusome maana sisi bado ni learner tufungue ufahamu wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaHuyu jamaa anaandika vitu vigumu kupita kiasi unaweza ukawa mwehu aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza comment zake lazima uzisome mara mbili na hata kama unasikiliza mziki basi lazima usimamishe kwa muda ili uelewe[emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha
Hahahaha, mkuu umeandika kweli kbs,ila mi jamaa namkubali sana mada zake, muhimu atuwekee vitabu tuKwanza comment zake lazima uzisome mara mbili na hata kama unasikiliza mziki basi lazima usimamishe kwa muda ili uelewe[emoji16][emoji16][emoji16]
Ngoja atuwekee vitabu tuone kama kuna chochote tunaweza pata
Sent using Jamii Forums mobile app
kusimamisha jina kwenye title ujue sio mchezoHuyu jamaa anaandika vitu vigumu kupita kiasi unaweza ukawa mwehu aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
meditation?!!?Wewe na mimi kama learner tunatakiwa tuingie darasani kupiga shule how to have an access to have consciousness...
Yani sikia labda mtu anaweza asielewe vizuri nachomanisha...
Ni hivi ili ujue namba 3 ni kitu kwenye haya maisha inabidi upate consciousness( ufahamu ) juu ya hiyo kitu ..
sasa ukishakuwa na hiyo consciousness( ufahamu) ya kujua hiyo namba 3 ni kitu gani basi ndo uje sasa kujua kuinterprete hiyo 3 imesimama on behave ya kitu gani( code) , ukishagundua kuwa hiyo 3 inasimama badala ya kitu flan basi hicho kitu tafsiri yake ni nini sasa !!!
Umeenda ngoma ilivyotamu...
mfano: Corona virus is just a word lakini unahitaji kujua corona ni nini hicho au ni mchezo gani huu ..ukishakua ndo uje uunganishe dot kwanini imetokea !! ukishajua kwanini imetokea ndo ujue kwanini imefanywa itokeee..
What is the implication of its eruption...
Who are running it behind and what purpose...
gateways to high centers ni nn?