Hapa mkuu Lifecode alikuwa anamaanisha nini?

Ni ujinga kufikiri mawazo ya mtu mwingine na kuyaamini , ujinga wa watu wengine usiwe ujinga qa wote.
Kama maumbo yana siri , ni ipi? Unadhani kuna siri ktk umbo mstatili amabalo limefichwa?
Hiyo ni imani , hata uchawi ni imani
Uko huru kuamini uchawi au ujinga au werevu wa mtu mwingine ukichagua.
Bandiko halina maana kabisa, na linaonesha jinsi ambavyo copy and paste inaathiri mfumo wetu.

Stay safe COVID-19 IPO
Jikinge kwa kunawa na sabuni
Epuka mikusanyiko isiyo lazima
Vaa mask mahari sahihi,wakati sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yan
ilo neno uchawi ndo liliwaharibu.but kwa mtazamo unauoyajua ww na kuamin ndo yako sawa sio mbaya but ni vema kujua wengine wanasemaje pia usiogope sana ukikuta wanachosema ni kinyume na unavo amin au jua ww
 
so how to access to the consiousness or the source

Wewe na mimi kama learner tunatakiwa tuingie darasani kupiga shule how to have an access to have consciousness...

Yani sikia labda mtu anaweza asielewe vizuri nachomanisha...

Ni hivi ili ujue namba 3 ni kitu kwenye haya maisha inabidi upate consciousness( ufahamu ) juu ya hiyo kitu ..

sasa ukishakuwa na hiyo consciousness( ufahamu) ya kujua hiyo namba 3 ni kitu gani basi ndo uje sasa kujua kuinterprete hiyo 3 imesimama on behave ya kitu gani( code) , ukishagundua kuwa hiyo 3 inasimama badala ya kitu flan basi hicho kitu tafsiri yake ni nini sasa !!!

Umeenda ngoma ilivyotamu...

mfano: Corona virus is just a word lakini unahitaji kujua corona ni nini hicho au ni mchezo gani huu ..ukishakua ndo uje uunganishe dot kwanini imetokea !! ukishajua kwanini imetokea ndo ujue kwanini imefanywa itokeee..

What is the implication of its eruption...

Who are running it behind and what purpose...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani tunajikuta tunasugua vichwa balaaa......hebu tujaribu kupasua vichwa vyetu hata tukomboe jamii zetu kwenye issues ndogondogo tu
 
Kwanza comment zake lazima uzisome mara mbili na hata kama unasikiliza mziki basi lazima usimamishe kwa muda ili uelewe[emoji16][emoji16][emoji16]

Ngoja atuwekee vitabu tuone kama kuna chochote tunaweza pata

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, mkuu umeandika kweli kbs,ila mi jamaa namkubali sana mada zake, muhimu atuwekee vitabu tu
 
meditation?!!?
 
mkuu hebu naomba u paste replay yako ulichangia kule kwenye mada ya corona ilikua inaelezea hbari za chanjo na athari zake baada ya chanjo hiyo nataka nisome upya
 
gateways to high centers ni nn?

Higher gateways ni portal entry katika source ya dark energy..🀫🀫🀫

Darker energy ni field ya nguvu ambapo chanzomaisha (source of life )kimesimama..

When we speak of high energy field ndo eneo katika quantum level lenye ile natural energy inayotubalance sisi kuendelea kuishi katika ulimwengu( Universe ) hii.

Wataalamu katika project kubwa ya dunia inayoitwa Large Hydron collider wanafight kumake sure wanapata formula sahihi itakayowezesha kucalculate exactly the hidden energy( dark energy) ambayo kimsingi ndo nguvu inashikilia kila kitu chochote katika ulimwengu huu na nguvu hiyo ndo nguvu asili na ndo inayocontrol uhai wa kiumbe yoyote kwa kufuata sequence ya fibonacci [emoji116][emoji116]

Kama hujui fibonacci sequence inaelezea nini thats another task again to do...[emoji91][emoji91][emoji91]

But kiufupi Fibonacci sequence ni formula tata ambayo bwana Leonardo Fibonacci aliitoa ikionesha kwa siri mfumo mzima wa energy flow katika higher gateways akimanisha kuwa , higher centres ambapo ndo ilipo source ya darker energy ili kupafikia ni lazima uanze na lower quantum rings (gateways) kwa kufanya mzunguko huo bila kuruka mzunguko hata mmoja..[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]

Kila kiumbe chochote ili kiishi hapa duniani kinatakiwa kipitie sequence hiyo inayoitwa fibonacci bila kuacha ring hata mmoja ..[emoji855]

Ili uweze kupata uhai wa kuweza kukufanya uishi kwenye dunia hii ni lazima uanze katika mzunguko mmoja wa lower quantum gateways na utakapofikia higher quantum gateways basi utakuwa umefikia level ya juu sana ambapo utakuwa umeifikia ile darker energy inayoruhusu wew upate full consciousness ya kuweza kukufanya usavaivu hapa ulimwengu..

Ukiwa tumboni kwa mama yako cell zako zitazaliana kwa kufuata sequence ya fibonacci (tazama hapo chini[emoji116])na pindi zitakapofikia mzunguko wa juu kabisa ( Higher quantum level ) basi higher gateways zitafunguka na kuruhusu cell zako kupata uhai wa kudumu ambapo itaambatana na total au ful consciousness ambapo utajikuta ushakuwa na ufahamu wa hapa duniani na utaanza kuona ,kulia kisha kupiga kelele kama wengine waliokutangulia
tazama hapa chini jinsi kila kiumbe anavyopitia hii sequence[emoji53]

Hiyo ni mimea inapokuwa inaanza ukuuaji..
Angalia pia hapa chini[emoji116][emoji116]

Lakini pia angalia picha hapa chini chini hata binadamu tunapitia fibonacci sequence ili kumaintain total consciousness itakupa ruhusu ya kuja kusurvaivu hapa duniani..
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

That is human being embryo at its early stages katika ukuaji ili kumaintain fully consciousness( ukamilifu wa ufahamu utakao kuongoza kujua na kutambua mazingira utakayokuwepo katika ulimwengu huu)

So from above unapata kujua sasa kuwa Hiyo dark energy ipo juu sana kiasi kwamba you need to grow(kukua) and pass (kupita) kwa kufauta hizo quantum level zilizo katika mzunguko ...
Tazama hapa chini[emoji116]

Itazame vizuri hiyo picha[emoji115][emoji115] utagundua kuwa hizo circles( fibonacci quantum level) zimetokea mbali sana ambapo zimeanza taratibu mpaka circle ikawa kubwa na mwishoni kabisa kwenye circle au ring ya mwisho kuna picha pembeni ya high energy field ambayo ndo tunaita kama source ya energy ambayo ndo tunaipa jina la Darker energy field ambalo kimsingi ndo eneo linabariki upate consciousness ya kutosha kisha kukufanya wewe ujitambue kuwa upo duniani( ulimwengu huu) bila kujua unefikaje fikaje hapa....

Did you get something here jinsi tunavyokuja duniani..??
Ndo mana ni ngumu kujua where you came from kwa sababu huna uwezo wa kutosha wa kujiclack ulipopitia katika hatua za kupata consciousness ( ufahamu ambao mpaka leo unapata maarifa ya kuandika au kujibu watu )


Tazama vizuri ili kupata ufahamu wetu tunapitia process ndefu sana ..Angalia upande wa kulia hapo kisha fuata hizo rings taratibu kwa kurudi nyuma ndo utagundua tumetoka kwenye lowest quantum level .. Na upande wa kushoto ndo unaona picha kubwa ya duara ambayo inaonesha higher gateway ambapo ndo kuna hiyo darker energy field inayotoa go ahead ya wew kupata ful consciousness then gafla unajikuta una ufahamu...

So when you die the consciousness returns to its original source( Darker energy field)..

So wanasayansi wanafaiti waweze kujua formula sahihi namna ya kuipata hiyo dark energy shortcut...

Kuwn shughuli pevu sana sio ya kitoto...

Sasa mpumbavu mmoja anayeitwa Leonardo Fibonacci ndo alitoa mtiririko huo kwa kuacha formula hiyo ila hakuna aliyemuelewa mpaka jamaa amekuja kufa wakaiba makablasha yake kujaribu kusolve hiyo paradoxy ya kwanini tunapitia huo mzunguko ndo wachache wakaja kugundua kuwa jamaa alidrive formula ya maisha ambayo kimsingi ni formula tata sana inayoonesha njia tunakopita ...

Natumai utakuwa umeelewa nini maana ya Fibonacci sequence ina maana gani japo wengi mpaka leo huwa hawajui inaelezea nini..

Ukiwauliza watu waliosoma physics wamekuwa wakiidrive sana huko vyuoni lakini hawaelewagi inaongelea nini ...

Am done kama hujaelewa sana tunapo ongelewa higher gateways basi omba Urudi tumboni kabisa uje upya[emoji4]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…