Hapa mkuu Lifecode alikuwa anamaanisha nini?

Tuliochanganyikiwa Tujuane!

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu jamaa sio level zetu kabisa nimedeclare kabisa kutoka ndani ya moyo wangu kuwa huyu jamaaa ni akili nene alo
Hiyo formula imekuwa inaelezewa kwa juu juu kinyama lakini jamaa amejaribu kuitolea ufafanuzi lakini bado kaniacha njia panda
huyu jamaa tumfananishe na nani humu JF make huwa sio mpenzi wa kuanzisha nyuzi ila siku akichangia mpaka wew mwenyewe anavutika lakini sasa wengine akili zetu ni nyasi za mbugani tunajaribu kumwelewa lakini wapi

Any way lifecoded you are more than an intelligent ever broo[emoji122][emoji122][emoji119][emoji119]

Hivi mkuu lifecoded umesomea nini au ndo upo sayari za Turin huwa unakuja kutuview[emoji23][emoji23] [emoji119]just jokinng
 

duuh🥴🥴🥴🥴
Lakini mkuu wewe huwa unayapata wapi haya madini

Mkuu lifecoded nashindwa kukuelezea wew jamaa lakini naomba kama utapata muda anzisha mada ya jinsi gani mtu anapanda hiyo consciousness uliyokuwa unaielezea kwenye uzi wa Mshana Jr kule kuhusu mambo ya corona ,unajua umetufungua sana mioyo watu juu ya ile consciousness
Ukirudi naomba unitag
 

🥴🥴🥴🥴[emoji122][emoji122][emoji122]
 

Haina shida mkuu nitajaribu kutengeneza Ratiba japo najua inahitaji muda kidogo
 
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1406332
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Mkuu nataman niwashe notification niweze kuwa alerted kwa kila utakacho comment, maana ukiachilia mbali mada zako, hata comment zako ni heavy[emoji122][emoji122]

By the way mimi ni mbishi sana kumkubali mtu ila kwako [emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu lifecoded unaweza elezea kwanini trend ya maambukizi ya covid-19 nayo yanafuata Fibonacci sequence



Ili ngoma ifike mbali ni lazima ifuate mtiririko wa fibonacci unless haiwezi fika mbali..

The same pattern should be enhenced
[emoji4][emoji4][emoji4]bora hata umeligundua hilo.. kwa hiyo ngoma inatambaaa circlic.. itafika na huku muda si mrefu,get turned
 


Sasa je sisi ambao tunayajua haya yatakuwepo hata kabla ya hawa walio andika vitabu hivi, mnatuweka wapi ? Au mnatuambiaje ?
 

Hawa watu huwa hawajiamini ndio maana wanatumia lugha za kuogofya ili yaonekane mambo fulani ni ya watu fulani, hakuna hicho kitu duniani, zaidi ya usanii na uzandiki.

Hakuna jambo ambalo ukilieleza watu hawaelewi hata uchawi watu wanafundishwa na wanaujua na kuutendea kazi. Ila nawakumbusha watu wa hivyo ya kuwa "Hakuna nadharia inayo weza kuthibitisha ukweli wa nadharia nyingine" kwani majibu na uhalisia huweza yakawa kinyume na wanavyo dhani.

Kaka naunga mkono ulicho kisema.
 
yan

ilo neno uchawi ndo liliwaharibu.but kwa mtazamo unauoyajua ww na kuamin ndo yako sawa sio mbaya but ni vema kujua wengine wanasemaje pia usiogope sana ukikuta wanachosema ni kinyume na unavo amin au jua ww
Ukweli ni kuwa hata hao wao wanao yasema ni kinyume na halisi kwani haya mambo yako ndani ya milki ya mmoja peke yake.

Nyingine ni mbinu zao tu kujitutumua ili waonekane watu maalumu sana ila hakuna kipya chini ya jua.

Ahsante.
 
Huyu jamaa anaandika vitu vigumu kupita kiasi unaweza ukawa mwehu aisee

Sent using Jamii Forums mobile app


Kaka nakupa siri moja, ukiona jambo ni gumu ujue kuna moja kati ya matatu :

1. Anae elezea jambo husika hana ujuzi nalo au

2. Jambo husika lina uongo mwingi kuliko ukweli na hili huwa mara nyingi sana,mfano wa jambo hili la mtoa mada.

3. Una uelewa mdogo sana kuweza kung'amua jambo husika, hili huwa mara chache sana.
 
mfano: Corona virus is just a word lakini unahitaji kujua corona ni nini hicho au ni mchezo gani huu ..ukishakua ndo uje uunganishe dot kwanini imetokea !! ukishajua kwanini imetokea ndo ujue kwanini imefanywa itokeee..

Kaka mkubwa, hapa unaweza kutusaidia hii Corona kwanini imetokea na ni nini hii Corona ?

Kwa ufupi naomba utujibie hayo maswali hapo juu.

Ahsante.
 
Darker energy ni field ya nguvu ambapo chanzomaisha (source of life )kimesimama..

Hii kitu Wanasayansi walifanyaje mpaka wakaijua na iko wapi?
When we speak of high energy field ndo eneo katika quantum level lenye ile natural energy inayotubalance sisi kuendelea kuishi katika ulimwengu( Universe ) hii.

Ina maana viwili hivi ndio sababu ya sisi kuweza kuishi bila shaka. Unaweza kututhibitishia hili ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…