BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Umemaliza mkuu..Kaka nakupa siri moja, ukiona jambo ni gumu ujue kuna moja kati ya mawili :
1. Anae elezea jambo husika hana ujuzi nalo au
2. Jambo husika lina uongo mwingi kuliko ukweli na hili huwa mara nyingi sana
3. Una uelewa mdogo sana kuweza kung'amua jambo husika, hili huwa mara chache sana.
View attachment 1406346
Ili ngoma ifike mbali ni lazima ifuate mtiririko wa fibonacci unless haiwezi fika mbali..
The same pattern should be enhenced
[emoji4][emoji4][emoji4]bora hata umeligundua hilo.. kwa hiyo ngoma inatambaaa circlic.. itafika na huku muda si mrefu,get turned
Kaka mkubwa, hapa unaweza kutusaidia hii Corona kwanini imetokea na ni nini hii Corona ?
Kwa ufupi naomba utujibie hayo maswali hapo juu.
Ahsante.
Hujawahi kunishawishi kuanzisha battle na wew ...
You can continue with other guys please[emoji855][emoji855][emoji855]
Najikutaga sikuelewi kwa sababu naonaga unajikita why why ila hujui hata unachokiulizaga [emoji4]
Am very sory brother...
Nikola Tesla amekufa akiwa Mzee wa miaka 86Habari zetu wana JF,
Naomba mnisaidie kudadavua au kutolea maelezo kidogo au kwa upana kuhusu hiyo short notes ya mkuu lifecode nimejaribu kuchokoza mara kwa mara lakin holaa. Natanguliza shukuran. Trained bender
(Lifecode)
Language that the universe speaks is through symbols asigned into numbers.
Yale mapembe, sanamu, misalaba zinaitwa Obelisk na zinafanya au kuifanya subconcious awareness yako kusynchronize with the universal energy grid (high energy flow system) ambayo ndiyo kila kitu.
The gateways to high centers zilifichwa katika fibonacci sequence, Golden ratio, phi(pai), Newtonian Calculus pamoja na sacred geometry.
Kule shule ya msingi tunafundishwa maumbo lakini hawayatolei ufafanuzi, yakitolewa ufafanuzi mbona kila mtu atakuwa genius wa kutupa na umaskini hautakuwepo.
Kuna code tata sana kwenye hayo maumbo mkuu..ni noma..narudia tena ni noma acha kabsaa. Nikola Tesla walimua kwa sababu alitaka auambie ulimwengu kuwa there is a core where all knowledge and power rest and we have to synchronize with the universal patterns to unlock the reality and truth.
Hatare sana. Wenye dunia hii hawataki kuweka mambo sawa..wanatuendesha tu kama magari mabovu.
Unajua kwanini walileta system ya kuweka misalaba kwenye makaburi ya watu waliokufa(fariki)?
unahisi ni representation ya Yesu Kristo?
Sio kweli...
When human being dies, his soul is used to open the highway gate way to higher world where knowlege rests.
Unajua kwanini Vatcan ilikua na sera ya kuwakusanya watu wote waliokufa sehemu moja halafu misalaba iwe imesimikwa kwa kusimama? Do you know its indications?
Unajua kwanini?
Usibishane na Zurri mzee [emoji23][emoji23][emoji122]Hujawahi kunishawishi kuanzisha battle na wew ...
You can continue with other guys please[emoji855][emoji855][emoji855]
Najikutaga sikuelewi kwa sababu naonaga unajikita why why ila hujui hata unachokiulizaga [emoji4]
Am very sory brother...
Hujawahi kunishawishi kuanzisha battle na wew ...
You can continue with other guys please[emoji855][emoji855][emoji855]
Najikutaga sikuelewi kwa sababu naonaga unajikita why why ila hujui hata unachokiulizaga [emoji4]
Am very sory brother...
Mufti utatuharibia uzi hebu wacha Code afanye vitu vyakeInaonekana muoga sana, unaulizwa maswali ya msingi unakimbilia kwenye "battle" hii tabia nilijua umeiacha. Hiki kichaka unatakiwa ukiache.
Pili, maswali ya "Why" yanaulizwa sababu yamejikuta katika msingi wa mambo, na kujua lipi la kweli na lipi la uongo. Hata wakubwa zako nao wanaishi katika maswali hayi hayo.
Basi ulitakiwa walau uwe unakosoa nacho kiuliza kisha unajibu maswali yangu, ajabu huwa hujibu maswali yangu japo marahisi sana. Swali kama "Kirusi" kinaumbwaje" au "Dark Energy" ilijulikana vipi ni maswali yaliyo jikita katika kubomoa misingi ya UONGO wa wakubwa zako.
Nakukumbusha tu ukweli unapoingia uongo hujitenga kama ilivyo nuru inapoingia kwenye giza, basi giza hushika njia.
Kwa ufupi huna uwezo wa kuthibhitisha ukweli wa haya unayo yasema na hili ulilishindwa tangu kipindi kile na hauta liweza leo hii.
Ahsante sana, kazi yangu nimemaliza.
Wewe na mimi kama learner tunatakiwa tuingie darasani kupiga shule how to have an access to have consciousness...
Yani sikia labda mtu anaweza asielewe vizuri nachomanisha...
Ni hivi ili ujue namba 3 ni kitu kwenye haya maisha inabidi upate consciousness( ufahamu ) juu ya hiyo kitu ..
sasa ukishakuwa na hiyo consciousness( ufahamu) ya kujua hiyo namba 3 ni kitu gani basi ndo uje sasa kujua kuinterprete hiyo 3 imesimama on behave ya kitu gani( code) , ukishagundua kuwa hiyo 3 inasimama badala ya kitu flan basi hicho kitu tafsiri yake ni nini sasa !!!
Umeenda ngoma ilivyotamu...
mfano: Corona virus is just a word lakini unahitaji kujua corona ni nini hicho au ni mchezo gani huu ..ukishakua ndo uje uunganishe dot kwanini imetokea !! ukishajua kwanini imetokea ndo ujue kwanini imefanywa itokeee..
What is the implication of its eruption...
Who are running it behind and what purpose...
Tatizo tukianza kutoa hoja utatuleta kwa mola sijui allahKaka nakupa siri moja, ukiona jambo ni gumu ujue kuna moja kati ya matatu :
1. Anae elezea jambo husika hana ujuzi nalo au
2. Jambo husika lina uongo mwingi kuliko ukweli na hili huwa mara nyingi sana,mfano wa jambo hili la mtoa mada.
3. Una uelewa mdogo sana kuweza kung'amua jambo husika, hili huwa mara chache sana.
PTatizo tukianza kutoa hoja utatuleta kwa mola sijui allah
Huko siji mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
mola na allaah 😆P
Hata tukisema twende kwa hoja za kiakili, pia huku hampawezi, ndio maana huwa tuna okoa muda tu kuwamaliza mapema.
Nipo....
Hakuna hata comment moja ya kiakili uliyo weka toka uzi unaanzaP
Hata tukisema twende kwa hoja za kiakili, pia huku hampawezi, ndio maana huwa tuna okoa muda tu kuwamaliza mapema.
Nipo....
Sasa kwanini vitu vyepesi huwa mnashindwa kuvijibu ?Hakuna hata comment moja ya kiakili uliyo weka toka uzi unaanza
Wewe ni bingwa wa kuweka vitu vyepesi vyepesi tu mfano
"HIKI NI NINI?" "KWANINI"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna ambae ameshindwa kukujibu mkuu hilo elewa kwanza,Sasa kwanini vitu vyepesi huwa mnashindwa kuvijibu ?
Kwanini na hiki nini ni maswali muhimili katika kuujua ukweli.
Maswali na hoja za kiakili ndio niliyo yauliza humu, soma utayaona.
Miongoni mwa maswali ya kiakili ni haya yafuatayo.
1. Tunaambiwa "Dark Energy" ndio inashikilia uhai wetu sisi, na hiyo Dark Enrgy ipo katika Field aliyo itaja aliye takiwa kutoa ufafanuzi. Sasa hiyo Field iko wapi na wamejuaje kama hiyo field ipo, na walitumia kanuni gani za Kisayansi kujua hilo ?
2. Je ni zipi sifa anuai za kitu kinacho miliki uhai, je kina ufahamu na je kinaweza kujielezea chenyewe au mpaka kielezewe na watu ?
Na wewe maswali haya unaweza kuyajibu au umsaidie alie takiwa kutoa ufafanuzi, kisha niambie maswali haya ni ya kiakili au kinyume chake ?
Ahsante..
Unaweza kuonyesha wapi nilijibiwa kisha nikaanzisha tena upya nilichio jibiwa. Ukiweka mfano utakuwa umenisaidia sana, ili niweze kuiacha hii tabia mbaya.Tatizo libapo kuja kwako ni kwamba kila unapo jibiwa unataka kuianzisha upya mada na kujifanya hauelewi, sijajua sababu ni nini hasa mpaka unakuwa hivyo!
mfano:-huwezi ukasimama katikati ya mjadala mzito wa maprofesa wamainjinia katika kutafuta namna ya kujenga daraja halafu wewe ukaanza kuwauliza what is physics.!
Swali lako kweli linahusiana na mada husika lakini ukiona unaliza swali kama hilo simply jua mjadala huo sio wa level zako au wewe unatakiwa urudi nyuma kujadili maana husika na wanafunzi wa form one maana kwa maprofesa utawachelewesha wanapo taka kufika.
Kama umefatilia kuanzia jina la uzi na hata mada iliyopo mezani ina muhusu lifecode na taaluma yake, hivyo basi nikupe taarifa kwamba hii mada ni muendelezo wa mada zake za nyuma.Unaweza kuonyesha wapi nilijibiwa kisha nikaanzisha tena upya nilichio jibiwa. Ukiweka mfano utakuwa umenisaidia sana, ili niweze kuiacha hii tabia mbaya.
Ahsante.