Hapa mkuu Lifecode alikuwa anamaanisha nini?

Hapa mkuu Lifecode alikuwa anamaanisha nini?

Kaka nakupa siri moja, ukiona jambo ni gumu ujue kuna moja kati ya mawili :

1. Anae elezea jambo husika hana ujuzi nalo au

2. Jambo husika lina uongo mwingi kuliko ukweli na hili huwa mara nyingi sana

3. Una uelewa mdogo sana kuweza kung'amua jambo husika, hili huwa mara chache sana.
Umemaliza mkuu..
 
View attachment 1406346

Ili ngoma ifike mbali ni lazima ifuate mtiririko wa fibonacci unless haiwezi fika mbali..

The same pattern should be enhenced
[emoji4][emoji4][emoji4]bora hata umeligundua hilo.. kwa hiyo ngoma inatambaaa circlic.. itafika na huku muda si mrefu,get turned

Kwa hio njia ya kuishinda ni ku trace back?
 
Kaka mkubwa, hapa unaweza kutusaidia hii Corona kwanini imetokea na ni nini hii Corona ?

Kwa ufupi naomba utujibie hayo maswali hapo juu.

Ahsante.

Hujawahi kunishawishi kuanzisha battle na wew ...
You can continue with other guys please[emoji855][emoji855][emoji855]

Najikutaga sikuelewi kwa sababu naonaga unajikita why why ila hujui hata unachokiulizaga [emoji4]

Am very sory brother...
 
Mkuu mimi naomba kueleweshwa hapa
Ina maana kama ni hivyo kwa mujibu wa hiyo sequence, Corona itaanza kuondoka Afrika kabla ya duniani kote?
Hujawahi kunishawishi kuanzisha battle na wew ...
You can continue with other guys please[emoji855][emoji855][emoji855]

Najikutaga sikuelewi kwa sababu naonaga unajikita why why ila hujui hata unachokiulizaga [emoji4]

Am very sory brother...
 
Habari zetu wana JF,

Naomba mnisaidie kudadavua au kutolea maelezo kidogo au kwa upana kuhusu hiyo short notes ya mkuu lifecode nimejaribu kuchokoza mara kwa mara lakin holaa. Natanguliza shukuran. Trained bender

(Lifecode)
Language that the universe speaks is through symbols asigned into numbers.

Yale mapembe, sanamu, misalaba zinaitwa Obelisk na zinafanya au kuifanya subconcious awareness yako kusynchronize with the universal energy grid (high energy flow system) ambayo ndiyo kila kitu.

The gateways to high centers zilifichwa katika fibonacci sequence, Golden ratio, phi(pai), Newtonian Calculus pamoja na sacred geometry.

Kule shule ya msingi tunafundishwa maumbo lakini hawayatolei ufafanuzi, yakitolewa ufafanuzi mbona kila mtu atakuwa genius wa kutupa na umaskini hautakuwepo.

Kuna code tata sana kwenye hayo maumbo mkuu..ni noma..narudia tena ni noma acha kabsaa. Nikola Tesla walimua kwa sababu alitaka auambie ulimwengu kuwa there is a core where all knowledge and power rest and we have to synchronize with the universal patterns to unlock the reality and truth.

Hatare sana. Wenye dunia hii hawataki kuweka mambo sawa..wanatuendesha tu kama magari mabovu.

Unajua kwanini walileta system ya kuweka misalaba kwenye makaburi ya watu waliokufa(fariki)?

unahisi ni representation ya Yesu Kristo?

Sio kweli...

When human being dies, his soul is used to open the highway gate way to higher world where knowlege rests.

Unajua kwanini Vatcan ilikua na sera ya kuwakusanya watu wote waliokufa sehemu moja halafu misalaba iwe imesimikwa kwa kusimama? Do you know its indications?

Unajua kwanini?
Nikola Tesla amekufa akiwa Mzee wa miaka 86
Angekufa kijana mashaka ya kuuliwa yangekuwa na mashiko
Sisemi wazee hawawezi kuuwawa, ila sipati sense vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujawahi kunishawishi kuanzisha battle na wew ...
You can continue with other guys please[emoji855][emoji855][emoji855]

Najikutaga sikuelewi kwa sababu naonaga unajikita why why ila hujui hata unachokiulizaga [emoji4]

Am very sory brother...

Inaonekana muoga sana, unaulizwa maswali ya msingi unakimbilia kwenye "battle" hii tabia nilijua umeiacha. Hiki kichaka unatakiwa ukiache.

Pili, maswali ya "Why" yanaulizwa sababu yamejikuta katika msingi wa mambo, na kujua lipi la kweli na lipi la uongo. Hata wakubwa zako nao wanaishi katika maswali hayi hayo.

Basi ulitakiwa walau uwe unakosoa nacho kiuliza kisha unajibu maswali yangu, ajabu huwa hujibu maswali yangu japo marahisi sana. Swali kama "Kirusi" kinaumbwaje" au "Dark Energy" ilijulikana vipi ni maswali yaliyo jikita katika kubomoa misingi ya UONGO wa wakubwa zako.

Nakukumbusha tu ukweli unapoingia uongo hujitenga kama ilivyo nuru inapoingia kwenye giza, basi giza hushika njia.

Kwa ufupi huna uwezo wa kuthibhitisha ukweli wa haya unayo yasema na hili ulilishindwa tangu kipindi kile na hauta liweza leo hii.

Ahsante sana, kazi yangu nimemaliza.
 
Mufti utatuharibia uzi hebu wacha Code afanye vitu vyake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawezaje jifunza au soma kuhusiana na hii kitu, any book recommendation for a begginer..
Wewe na mimi kama learner tunatakiwa tuingie darasani kupiga shule how to have an access to have consciousness...

Yani sikia labda mtu anaweza asielewe vizuri nachomanisha...

Ni hivi ili ujue namba 3 ni kitu kwenye haya maisha inabidi upate consciousness( ufahamu ) juu ya hiyo kitu ..

sasa ukishakuwa na hiyo consciousness( ufahamu) ya kujua hiyo namba 3 ni kitu gani basi ndo uje sasa kujua kuinterprete hiyo 3 imesimama on behave ya kitu gani( code) , ukishagundua kuwa hiyo 3 inasimama badala ya kitu flan basi hicho kitu tafsiri yake ni nini sasa !!!

Umeenda ngoma ilivyotamu...

mfano: Corona virus is just a word lakini unahitaji kujua corona ni nini hicho au ni mchezo gani huu ..ukishakua ndo uje uunganishe dot kwanini imetokea !! ukishajua kwanini imetokea ndo ujue kwanini imefanywa itokeee..

What is the implication of its eruption...

Who are running it behind and what purpose...
 
Kaka nakupa siri moja, ukiona jambo ni gumu ujue kuna moja kati ya matatu :

1. Anae elezea jambo husika hana ujuzi nalo au

2. Jambo husika lina uongo mwingi kuliko ukweli na hili huwa mara nyingi sana,mfano wa jambo hili la mtoa mada.

3. Una uelewa mdogo sana kuweza kung'amua jambo husika, hili huwa mara chache sana.
Tatizo tukianza kutoa hoja utatuleta kwa mola sijui allah

Huko siji mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna hata comment moja ya kiakili uliyo weka toka uzi unaanza

Wewe ni bingwa wa kuweka vitu vyepesi vyepesi tu mfano

"HIKI NI NINI?" "KWANINI"

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwanini vitu vyepesi huwa mnashindwa kuvijibu ?

Kwanini na hiki nini ni maswali muhimili katika kuujua ukweli.

Maswali na hoja za kiakili ndio niliyo yauliza humu, soma utayaona.

Miongoni mwa maswali ya kiakili ni haya yafuatayo.

1. Tunaambiwa "Dark Energy" ndio inashikilia uhai wetu sisi, na hiyo Dark Enrgy ipo katika Field aliyo itaja aliye takiwa kutoa ufafanuzi. Sasa hiyo Field iko wapi na wamejuaje kama hiyo field ipo, na walitumia kanuni gani za Kisayansi kujua hilo ?

2. Je ni zipi sifa anuai za kitu kinacho miliki uhai, je kina ufahamu na je kinaweza kujielezea chenyewe au mpaka kielezewe na watu ?

Na wewe maswali haya unaweza kuyajibu au umsaidie alie takiwa kutoa ufafanuzi, kisha niambie maswali haya ni ya kiakili au kinyume chake ?

Ahsante..
 
Hakuna ambae ameshindwa kukujibu mkuu hilo elewa kwanza,

Tatizo libapo kuja kwako ni kwamba kila unapo jibiwa unataka kuianzisha upya mada na kujifanya hauelewi, sijajua sababu ni nini hasa mpaka unakuwa hivyo!

Maswali yako ya hiki ni nini na kwanini ni mazuri sana lakini inabidi ujue kuwa mijadala ni kama elimu na elimu ina ngazi zake.

mfano:-huwezi ukasimama katikati ya mjadala mzito wa maprofesa wamainjinia katika kutafuta namna ya kujenga daraja halafu wewe ukaanza kuwauliza what is physics.!

Swali lako kweli linahusiana na mada husika lakini ukiona unaliza swali kama hilo simply jua mjadala huo sio wa level zako au wewe unatakiwa urudi nyuma kujadili maana husika na wanafunzi wa form one maana kwa maprofesa utawachelewesha wanapo taka kufika.

Swali lako namba moja lifecoded alishalitolea ufafanuzi na maelezo labda kama sio mfatiliaji wa mada zake

Swali namba mbili ndio linaturudisha kule kule kwenye swala zima la kufanya mada iwe ndefu, seriously mkuu na uelewa wako unataka ufafanuliwe kiumbe hai ni kipi na kina sifa gani?@[emoji16][emoji16]

I don't think if there is anyone will ever take his/her time to answer that.!

By the way if you think our silence to those stupid qstn is your victory in argument then let it be[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo libapo kuja kwako ni kwamba kila unapo jibiwa unataka kuianzisha upya mada na kujifanya hauelewi, sijajua sababu ni nini hasa mpaka unakuwa hivyo!
Unaweza kuonyesha wapi nilijibiwa kisha nikaanzisha tena upya nilichio jibiwa. Ukiweka mfano utakuwa umenisaidia sana, ili niweze kuiacha hii tabia mbaya.

Ahsante.
 
mfano:-huwezi ukasimama katikati ya mjadala mzito wa maprofesa wamainjinia katika kutafuta namna ya kujenga daraja halafu wewe ukaanza kuwauliza what is physics.!

Ushawahi kujifunza elimu ya mifano au adabu za mijadala ? Miongoni mwa masharti ya mifano ni lazima kuwepo na uhusiano kati ya mfano na kile kinachotolewa mfano. Kwa munasaba wa swali lako na huu mfano, hauingii katika katika namna ya maswali yangu,kwani maswali yangu yamebeba msingi wa jambo husika yaani kushindwa kujibu maswali yangu kunavunja jengo zima. Mathakani leo hii huwezi kutuambia ya kuwa Dunia inatembea au inazunguka kwa mujibu wa Sayansi bila kutuonyesha jaribio la Kisayansi lililo pelekea wewe kufikia hitimisho, halafu tukikuuliza iekuwaje umefikia hitimishk hilo, useme hio ni swali sawa na kuuliza "Dunia".ni nini ?.Aisee huku ni kuihujumu Elimu na watu wake.
Swali lako kweli linahusiana na mada husika lakini ukiona unaliza swali kama hilo simply jua mjadala huo sio wa level zako au wewe unatakiwa urudi nyuma kujadili maana husika na wanafunzi wa form one maana kwa maprofesa utawachelewesha wanapo taka kufika.

Sasa kaka, mbona unapoteza muda mzee, wakati kama ushaona mimi sijui, ulitakiwa unisaidie tu ili tuokoe muda. Fanya kujibu swai hilo kaka.

Safi kabisa, yawezekana sifuatilii, ila wewe ambae unafatilia na majibu unayo huu muda ungetakiwa uyajibu maswali yangu, embu nijibie hayo maswali mawili ili nipate faida.

Nipo ....
 
Unaweza kuonyesha wapi nilijibiwa kisha nikaanzisha tena upya nilichio jibiwa. Ukiweka mfano utakuwa umenisaidia sana, ili niweze kuiacha hii tabia mbaya.

Ahsante.
Kama umefatilia kuanzia jina la uzi na hata mada iliyopo mezani ina muhusu lifecode na taaluma yake, hivyo basi nikupe taarifa kwamba hii mada ni muendelezo wa mada zake za nyuma.

Kwa hiyo kama lengo ni kujifunza basi na wajibu wako kurejea mada zake za nyuma ila kama lengo ni kubishana basi bakia humu humu

Maswali hayo ya kwanini au ni nini hiki mengi yalishajibiwa katika mada za nyuma ndio mana tunao mfatilia hatujauliza aina hiyo ya maswali mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom