ighalamu
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 393
- 643
Narudia tena mkuu hii mada na muendelezo wa mada ambazo anazitoa lifecode.Ushawahi kujifunza elimu ya mifano au adabu za mijadala ? Miongoni mwa masharti ya mifano ni lazima kuwepo na uhusiano kati ya mfano na kile kinachotolewa mfano. Kwa munasaba wa swali lako na huu mfano, hauingii katika katika namna ya maswali yangu,kwani maswali yangu yamebeba msingi wa jambo husika yaani kushindwa kujibu maswali yangu kunavunja jengo zima. Mathakani leo hii huwezi kutuambia ya kuwa Dunia inatembea au inazunguka kwa mujibu wa Sayansi bila kutuonyesha jaribio la Kisayansi lililo pelekea wewe kufikia hitimisho, halafu tukikuuliza iekuwaje umefikia hitimishk hilo, useme hio ni swali sawa na kuuliza "Dunia".ni nini ?.Aisee huku ni kuihujumu Elimu na watu wake.
Sasa kaka, mbona unapoteza muda mzee, wakati kama ushaona mimi sijui, ulitakiwa unisaidie tu ili tuokoe muda. Fanya kujibu swai hilo kaka.
Safi kabisa, yawezekana sifuatilii, ila wewe ambae unafatilia na majibu unayo huu muda ungetakiwa uyajibu maswali yangu, embu nijibie hayo maswali mawili ili nipate faida.
Nipo ....
Elimu ni gharama na gharama yake inaweza kuwa muda au pesa.
Kama lengo ni kujifunza kweli kama ambavyo umeniamisha basi take your time ukitulia pitia mada za muhusika ambazo amekuwa akizitoa kipindi cha nyuma nazani itakuwa ni njia rahisi zaidi na unaweza kuja na hoja za kuendelea kujengana.
Lakini hili la kutaka mimi nikuandikie paragrafu zaidi ya mia wakati unaweza ukapitia wewe mwenyewe binafsi sili afiki
Sent using Jamii Forums mobile app