Hapa Mo yupo sahihi ama la!?

Hapa Mo yupo sahihi ama la!?

Ukitaka kujua anafaidika sana na Simba kumbuka alivyoichukua African lyon kipindi kile ila akashindwa kupata faida pale, wakamwambia aende timu ya kwao Singida akagoma wakamwambia aanzishe timu yake kama Azam Bakhresa alichofanya akagoma, sasa kapata sehemu ya kuingiza pesa bila kupata shida na hiyo Bilion 20, utashangaa imejizungusha mulemule simba katika kipindi hiki kidogo, hakuna muhindi anayefanya biashara ya hasara
Upo sawa kabisa. Anatangaza biashara zake kupitia Simba bure kabisa. Wahindi wanakuambia Tanzania njoo na akili tu,pesa utapatia hapa hapa Tanzania. Kaenda Simba na akili tu na pesa anapatia hapo hapo.
 
Unijua biashara ya hisa wewe? Wataalamu gani waliosema haya uliyoandika? Kuna watu ni wajinga sana ukiwepo wewe,unawakilisha wajinga wote nchini,Simba ikiingia kwenye soko la hisa MO anaweza kuuza na kununua hisa muda wowote,kwa akili zako unafikili hisa ni mayai tu unaweka kwenye tray?!
Hata yanga ikiingia soko la hisa formula ni Ile ile kuuza na kununua,muwe watatu uwe mmoja muwe milioni moja formula ni moja kuuza na kununua hisa.
Twende taratibu bosi Mimi mjinga eti.

Usajili wa limited company kwanini unaweka kigezo cha wamiliki kuwa angalau 3 au 5? Nijibu.

Unajua kununua hisa kwa kutoka ndani ni rahisi kuliko kupata mteja wa kununua hisa kutoka nje?

Maana yake ukiwa ndani wewe tayari unaelewa hiyo biashara ukiwa nje mpaka wakushawishi ndio ununue wewe hapo hauoni tatizo?

Mimi mjinga sawa wewe msomi.
 
Timu zipo nyingi sana hapa nchini. Fursa za kuwekeza ktk soka zipo nyingi lkn naona watu wanamchukia sana Mo.

Binafsi nashauri watu wakawekeza hata kwa Timu zingine sio lazima SSC.

Ushauri mzuri huu kila mtu ashinde mechi zake
 
Unijua biashara ya hisa wewe? Wataalamu gani waliosema haya uliyoandika? Kuna watu ni wajinga sana ukiwepo wewe,unawakilisha wajinga wote nchini,Simba ikiingia kwenye soko la hisa MO anaweza kuuza na kununua hisa muda wowote,kwa akili zako unafikili hisa ni mayai tu unaweka kwenye tray?!
Hata yanga ikiingia soko la hisa formula ni Ile ile kuuza na kununua,muwe watatu uwe mmoja muwe milioni moja formula ni moja kuuza na kununua hisa.
Akigoma kuuza hisa zake? Utamlazimisha? Au unaelewa mkataba walioingia kati ya Simba na Mo upoje?

Mkataba wa yanga umeweka kipengele cha ununuzi wa hisa 49 lazima wawe angalau 2 mpaka 4 na kuendelea

Je wa simba unaufahamu?
 
Ndio uwezo wako ulipoishia,mmegeuza jukwaa la michezo kuonekana ni la vilaza kwa michango yenu ya darasa la pili,unatoa mchango mtu unajiuliza uyu mtu anatumia kichwa,au kichwani kwake kumejaa mavi!!kitu kama hujui uliza,kuku wa nyama wewe
Thamani ya bilioni 20, tena anatoa kwa masimango na uswahili mwiiingi na tena baada ya miaka minne, ndo nimeamini leo ni mbumbumbu fc
 
Upo sawa kabisa. Anatangaza biashara zake kupitia Simba bure kabisa. Wahindi wanakuambia Tanzania njoo na akili tu,pesa utapatia hapa hapa Tanzania. Kaenda Simba na akili tu na pesa anapatia hapo hapo.
Hiyo bilioni 20 haijatokea kwenye mifuko yake kabisa Mo dewji Alichokifanya kachukua zile bonuses za CAF na ligi yetu ya ndani na viingilio vya getini kwa muda huu alipokuwa anawapa uswahili ndo ikapatikana hiyo bilioni 2.
 
Kwa miaka yote minne ya mafanikio timu ilikua ikiendeshwa kwa fedha za nani ?? ..
Mafanikio ni mikakati mkuu, na je ukiwa na miaka minne mingine ya kutokuwa na mafanikio utaanza kulaumu nani, usiangalie tu wakati wa kushiba, kuna wakati wa njaa ni lazima uzibe mianya ambayo ukifika wakati huo usipate wa kumlaumu
 
Kwanza na yeye asema anatoa kiasi gani Kwa matangazo aliyoweka kwenye jezi ya simba

Yupo katika utaratibu wa mwisho wa kuimiliki timu iwe ya familia kama ilivyo kampuni ya familia
Ieseeh! Umepiga kwenye mshono maana Mwamedi anawapiga sana kwa kigezo cha uwekezaji. Sidhani kama kuna clear separation kati ya Mo kama mwekezaji na Mo interprises kama mdhamini, ukirejea suala na Manara anapewa mkataba wa msemaji wa Simba lakini Mo anakataa Manara asifanye kazi na makampuni mengine sasa mtu unashindwa kuelewa je yeye ni mwajiriwa wa Simba au wa Mo interprises
 
Mafanikio ni mikakati mkuu, na je ukiwa na miaka minne mingine ya kutokuwa na mafanikio utaanza kulaumu nani, usiangalie tu wakati wa kushiba, kuna wakati wa njaa ni lazima uzibe mianya ambayo ukifika wakati huo usipate wa kumlaumu
Embu punguza kwanza taarabu, mwenyewe ameshasema kuwa ndani ya miaka minne ameshatumia zaidi ya 21B .. alafu pia usisahau kwamba yeye pia ni sehemu ya mafanikio ya Simba ..
 
Embu punguza kwanza taarabu, mwenyewe ameshasema kuwa ndani ya miaka minne ameshatumia zaidi ya 21B .. alafu pia usisahau kwamba yeye pia ni sehemu ya mafanikio ya Simba ..
Matumizi ya Bilion 21 hahaha, Muda ni mwalimu mzuri sana, kwahiyo katika kipindi hicho cha matumizi yake, Simba haijawahi kuingiza pesa yeyote ile, mbumbumbu FC ebu legezeni misuli ya vichwa vyenu
 
Siku akifilisika? Maana yake ndio utakuwa mwisho wa simba? Ndio maana wataalamu wa biashara wanashauri wamiliki wa hisa hizo 49 wawe angalau 2 mpaka 4

Hata mmoja akiyumba anauza hisa zake kwa mmiliki mwenzie kirahisi.

Kwani akiwa mmoja hawezi kuuza sehemu ya hisa zake?
 
Unijua biashara ya hisa wewe? Wataalamu gani waliosema haya uliyoandika? Kuna watu ni wajinga sana ukiwepo wewe,unawakilisha wajinga wote nchini,Simba ikiingia kwenye soko la hisa MO anaweza kuuza na kununua hisa muda wowote,kwa akili zako unafikili hisa ni mayai tu unaweka kwenye tray?!
Hata yanga ikiingia soko la hisa formula ni Ile ile kuuza na kununua,muwe watatu uwe mmoja muwe milioni moja formula ni moja kuuza na kununua hisa.

Bora umenisaidia kuliweka sawa hili la kuuza na kununua hisa.
 
Akigoma kuuza hisa zake? Utamlazimisha? Au unaelewa mkataba walioingia kati ya Simba na Mo upoje?

Mkataba wa yanga umeweka kipengele cha ununuzi wa hisa 49 lazima wawe angalau 2 mpaka 4 na kuendelea

Je wa simba unaufahamu?

Sasa mbona na wewe unayecomment utadhani unaujua mkataba wa Simba kiundani.Wewe kinachokukera ni nini hasa,nyie kuweni hata Wawekezaji 10,sisi huyu huyu mmoja anatosha na matokeo yanaonekana.Wewe endelea kusubiri MO afilisike,kwani hao Wawekezaji watatu hawawezi kufilisika na pengine wote kwa pamoja?
 
Back
Top Bottom