Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Upo sawa kabisa. Anatangaza biashara zake kupitia Simba bure kabisa. Wahindi wanakuambia Tanzania njoo na akili tu,pesa utapatia hapa hapa Tanzania. Kaenda Simba na akili tu na pesa anapatia hapo hapo.Ukitaka kujua anafaidika sana na Simba kumbuka alivyoichukua African lyon kipindi kile ila akashindwa kupata faida pale, wakamwambia aende timu ya kwao Singida akagoma wakamwambia aanzishe timu yake kama Azam Bakhresa alichofanya akagoma, sasa kapata sehemu ya kuingiza pesa bila kupata shida na hiyo Bilion 20, utashangaa imejizungusha mulemule simba katika kipindi hiki kidogo, hakuna muhindi anayefanya biashara ya hasara