Hapa Mo yupo sahihi ama la!?

Thamani ya bilioni 20, tena anatoa kwa masimango na uswahili mwiiingi na tena baada ya miaka minne, ndo nimeamini leo ni mbumbumbu fc

Baada ya maumivu ya Kigoma,leo mmeongezewa dose nyingine tena.Pole pole mtazoea tu Utopolo
 
Matumizi ya Bilion 21 hahaha, Muda ni mwalimu mzuri sana, kwahiyo katika kipindi hicho cha matumizi yake, Simba haijawahi kuingiza pesa yeyote ile, mbumbumbu FC ebu legezeni misuli ya vichwa vyenu
Kwani wewe shida yako haswa ni nini ?? .. mbona umeshupaza sana mishipa ya shingo kwenye klabu yetu we [emoji205][emoji205] fc ..
 
Tajiri gani ana uswahili kama vile, ndo nimejua leo kwann Mo dewji baada ya kutekwa alivalishwa kanga

Leo hali yako si shwari,kunywa maji ya baridi upunguze jazba.Kama nakuona mishipa ya uso ilivyokutoka kwa hasira[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Leo anaweza kupigana kwa ajili ya hasira.Mishipa ya shingo imemkakamaa kisa 20bn imewekwa[emoji3][emoji3][emoji3]
Kila siku walikua wanambeza humu, mara ooh aweke B20! .. Sasa kaweka cha kushangaza wamekua na hasira mno [emoji23][emoji23] ..
 
Hata wewe kama una mpunga lete tu uje uwekeze simba acha roho mbaya akatazwi mtu,,,, najua uto inawauma mo yupo sana simba
 
Hata wewe kama una mpunga lete tu uje uwekeze simba acha roho mbaya akatazwi mtu,,,, najua uto inawauma mo yupo sana simba
Simba katiba yenu ya mabadiliko ime limit kwenye mwekezaji mmoja tu na alifanya hivyo Mo kwa malengo yake binafsi ila hii tofauti na yanga wawekezaji wanaanza wawili na hawazidi wanne, can you see this?
 
Upo sawa kabisa. Anatangaza biashara zake kupitia Simba bure kabisa. Wahindi wanakuambia Tanzania njoo na akili tu,pesa utapatia hapa hapa Tanzania. Kaenda Simba na akili tu na pesa anapatia hapo hapo.
Anatangaza bure?
Una hakika?
Kampuni ya metl si waliingia mkataba na simba?
Na wanatoa approx 500M kwa mwaka, hiyo ni bure?
 
Siku akifilisika? Maana yake ndio utakuwa mwisho wa simba? Ndio maana wataalamu wa biashara wanashauri wamiliki wa hisa hizo 49 wawe angalau 2 mpaka 4

Hata mmoja akiyumba anauza hisa zake kwa mmiliki mwenzie kirahisi.
Akifirisika atakuwa amefirisika atakuja mwingine. Kipindi hayupo Simba yenyewe ilishawahi firisika..
 
We kweli juha sio muhindi tu hata wewe hutakiwi kufanya biashara ya hasara, mo yupo simba kupata faida na mashabiki wapo simba kupata furaha sasa jiulize wewe upo yanga kupata nini ikiwa simba inachukua makombe mara nne mfululizo na GSM wapo hapohapo wanatumbua mimacho tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…