Mbona mna akili fupi sana? Mo anaposema kuanzia sasa hata kubali simba ipewe pesa sawa za udhamini na klabu nyingine unaelewa nini? Kwa style wanayoenda nayo simba baada ya ten years hawatamtegemea mtu tenaSiku akifilisika? Maana yake ndio utakuwa mwisho wa simba? Ndio maana wataalamu wa biashara wanashauri wamiliki wa hisa hizo 49 wawe angalau 2 mpaka 4
Hata mmoja akiyumba anauza hisa zake kwa mmiliki mwenzie kirahisi.
Kama ni rahisi hivo na utopolo wafanye miaka 4 yana zuga zuga tuHiyo bilioni 20 haijatokea kwenye mifuko yake kabisa Mo dewji Alichokifanya kachukua zile bonuses za CAF na ligi yetu ya ndani na viingilio vya getini kwa muda huu alipokuwa anawapa uswahili ndo ikapatikana hiyo bilioni 2.
Sawa mbumbumbu fcWe kweli juha sio muhindi tu hata wewe hutakiwi kufanya biashara ya hasara, mo yupo simba kupata faida na mashabiki wapo simba kupata furaha sasa jiulize wewe upo yanga kupata nini ikiwa simba inachukua makombe mara nne mfululizo na GSM wapo hapohapo wanatumbua mimacho tu