Mbona mna akili fupi sana? Mo anaposema kuanzia sasa hata kubali simba ipewe pesa sawa za udhamini na klabu nyingine unaelewa nini? Kwa style wanayoenda nayo simba baada ya ten years hawatamtegemea mtu tenaSiku akifilisika? Maana yake ndio utakuwa mwisho wa simba? Ndio maana wataalamu wa biashara wanashauri wamiliki wa hisa hizo 49 wawe angalau 2 mpaka 4
Hata mmoja akiyumba anauza hisa zake kwa mmiliki mwenzie kirahisi.