Hapa Moze Iyobo umezingua kwa kumuita binadamu mwenzio nyani

Hahaa sijui utaupatia wapi maana kila dakika wanaomtetea wanaharibu zaidi
Hahaha
Hata mimi napata shida nimsaidie vipi hapa.
Kumbe si mimi.

Halafu mi nahisi jamaa alikuwa anataka tu kuchek watu mta react vip
 
mi nimeona kama utani tu jamani,labda wanajuana.
 
Endeleeni kuchambana tu, ila muwe makini maana hilo bundle lenu la Tsh 2000 linaweza kusababisha ukalipa Millioni 7!
 
Tatizo wasanii wa hapa nchini wana kiki mbaya kuna saa wanaweza jikuta wameboa na kuumiza mashabiki wao bila kujua.
Hahaha
Hata mimi napata shida nimsaidie vipi hapa.
Kumbe si mimi.

Halafu mi nahisi jamaa alikuwa anataka tu kuchek watu mta react vip
 
Angekuwa mzungu katoa hayo maneno kungechimbika....


Watu weusi sisi ni wanafiki sana
 
[emoji2] angekua mzuriii nyau yulee....!!!

kachwambwa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…