Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
HahahahaKeshaona jamaa kakosea sasa anapooza kiaina
Aunty hajama mtetea, kampoozea soo tu apo
Mi naendelea kukusanya ushahidi wa ku mtetea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaKeshaona jamaa kakosea sasa anapooza kiaina
Hahahaha
Aunty hajama mtetea, kampoozea soo tu apo
Mi naendelea kukusanya ushahidi wa ku mtetea
HahahaHahaa sijui utaupatia wapi maana kila dakika wanaomtetea wanaharibu zaidi
Hahaha
Hata mimi napata shida nimsaidie vipi hapa.
Kumbe si mimi.
Halafu mi nahisi jamaa alikuwa anataka tu kuchek watu mta react vip
[emoji2] angekua mzuriii nyau yulee....!!!ukisikia mtu kajamba alaf anakimbia ushuzi wake ndo huyu mose iyobo..tena ngoja nkuchambe uchambike kiuno bila mfupa wewe!...cha kwenda kumuita mwenzio nyani we ndo ulimuotesha mkia?hiv kabla yakuandika ule upumbavu kumtusi mwenzio ulijichungulia kwanza kwenye kioo huo uso wako kama unang'ong'a?...mbona umekosa utu na kifua cha kiume weye kunyamazia mambo!..hamorapa anakuuma kama ww ndo mkurungenzi wa wcb wakat kidampa tu...kila mtu na njia zake za kujitaftia rizk babu wee kama hana nyota wala kipaji anatumia jina la mwenziwe ili ajulikane hatochukua mda mrefu atafulia tu ndo maana hata hao viongoz wako wa wcb wako kimya buzy hawana habar nae..ila wew mcheza samba mshipa wa chuki umekusimama dede mpaka umeshindwa kujizuia waenda mtukana mwenzio wamuita nyani!..wewe uloumbwa binadam mpaka sasahv una tuzo gani ya u handsome hapa mjini..muachee babu wee walikuja watu kibao wanawaoimba kwa kiki ya kufanana na wasanii wengn ila hawakuw na vpaji wako wap sasahv..wamefulia kwaio muache mtoto wa mwanaume mwenzio ajikune anakofikia upo ziwa?..kama ni kiki hata ww unaitafta maana wakuongea angekuwa hermonize wew cjui inakuhusu nini..!.huo muda unaokaa kumtukana mwenzio ungeenda kumfumua cookie zile rasta mlizomsokota ugekuwa umefanya la maana!.mwanaume mzima hovyoo una roho nyeusi kama ngozi yako!kukaa kote wcb na kwenda kote ulaya huna mabadiliko yyote ngozi kavuu ka shuka za wakoloni..huna nuru mwanaume mda wote uso mzitoo umekutuama ka dimbwi la kambale..huo weusi sasa!weusi hauleweki na kichwa chako hiko ka yai la chemli yaan ww ndo wa ajabu na maajabu yake kama ni vizazi ya nyani bac ww ni homohabilis nyani mtembelea mikono!ila ushawah sikia mtu anakutusi hivyo?au watuona kimya hatukutoi kasoro ndo ukajiona wafanana na pesa!?na mashavu yako hayo ka bundi wakutumwa...!mtizame hapo vimacho juujuu havitulii..ka kajamba ukweni! CREDIT TO: MALKIA WA KUCHAMBA INSTA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na kweli sokwe loojhhKeishapata wa kumteteaView attachment 465008
[emoji2] angekua mzuriii nyau yulee....!!!
kachwambwa leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na kweli sokwe loojhh
yaonekana lile dongo la malkia wa kuchamba limemfika la homohabilis
maana anti kapanick km kawaida yakeHahaa ila kaipata pata fresh leo.
[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angeringa sana,leo ndio itakua mwisho wake kutafuta kiki kiboya.(abaki tu kushindana na feni kuzungusha kiuno)
maana anti kapanick km kawaida yake
[emoji3] [emoji3] yupo location huyo wolperNa anavyopenda sifa asijeishia kama wolper(bidada sijui nn kimemkuta eti anajirecodi analia na kutupia mtandaoni)
[emoji3] [emoji3] yupo location huyo wolper
hana lolote
chizi yulee hivi unalia anakurekodi nani!??Ila wanawake bana(bora asingemtaja cookie)View attachment 465073
Anajishusha sasa na kuharibu soko la biashara yake ya nguo