Hapa Moze Iyobo umezingua kwa kumuita binadamu mwenzio nyani

moze iyobo ndo nani huyo?

asije akawa mcheza shoo mnamleta hapa
 
Mmh kuna watu wana moyo jamani,jamaa kajiopolea kilaini(sijui ni kweli au wanaigiza tu)

Kajirekodi mwenyewe ila watu wajue nae anaumiaga
ukitaka kumkera MTU gusa anapopapenda

chizi yulee hivi unalia anakurekodi nani!??
 
😎 😎 😎 😎
Huu mchambo siyo wa nchii hii labda Gambia
 
Nimejikuta nacheka kwa nguvu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila wanawake bana(bora asingemtaja cookie)View attachment 465073
hahahahah Harmo Rappa ameanza kuwasumbua hahaha yani hivi Mose iyobo yeye amejiangalia?
Hivi mwanaume mzima unafanya vile tena kwa mwanaume mwenzako? aisee huyu jamaa kanishangaza aisee
Hivi yeye ndio ana sura nzuri?
 
Mi na mshauri uyu dogo aende mahakamani akafungue kesi ya madai aiwezekani kumuita binadamu mwenzio nyani nchi za watu unaenda jela na fidia unampa kwa kumthalilisha mtandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…