masara
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,738
- 2,282
Unamaanisha kama za M-pesa?Haya myasemayo ni kweli aisee,,nina biashara ya uwakala hao machuma ulete wanachukua hela sanaaaa sijui nifanyaje kuepuka hii kitu nakaribia kuacha sasa too much
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha kama za M-pesa?Haya myasemayo ni kweli aisee,,nina biashara ya uwakala hao machuma ulete wanachukua hela sanaaaa sijui nifanyaje kuepuka hii kitu nakaribia kuacha sasa too much
Mkuu mm hiyohiyoUnamaanisha kama za M-pesa?
Upepo Wa kisiasa na mtu kupoteza hela kimazingara kuna uhusiano gani? Ref.Wadau hapo juuHata mimi nina face the same problem ila siamini hili swala nahisi ni upepo wa biashara umekaa vibaya nchini kwa sababu ya mambo ya kisiasa.
Ndio,,m-pesa,tpesa nkUnamaanisha kama za M-pesa?
Uwiiii,,ntaweza kweli!ila ahsante kwa msaada wako mkuuNunua panga jipya linoe af tafuta na maji mengi yatie chumvi mfuko mmoja kwa kadri ya iman yako ukitaka kuanza biashara unasali ukishamalza unachukua yale maji yenye chumvi unanyunyuzia kwenye lile panga unasema kiumbe yeyote atakaeingia humu kwa njia isiyo ya kibinadamu namchinja yan hapo overrrr