Hapa mtaani Kuna mfanya biashara chuma ulete, hivi Kuna ukweli juu ya hawa watu?

Hapa mtaani Kuna mfanya biashara chuma ulete, hivi Kuna ukweli juu ya hawa watu?

Haya myasemayo ni kweli aisee,,nina biashara ya uwakala hao machuma ulete wanachukua hela sanaaaa sijui nifanyaje kuepuka hii kitu nakaribia kuacha sasa too much
Unamaanisha kama za M-pesa?
 
Hata mimi nina face the same problem ila siamini hili swala nahisi ni upepo wa biashara umekaa vibaya nchini kwa sababu ya mambo ya kisiasa.
Upepo Wa kisiasa na mtu kupoteza hela kimazingara kuna uhusiano gani? Ref.Wadau hapo juu
 
Nunua panga jipya linoe af tafuta na maji mengi yatie chumvi mfuko mmoja kwa kadri ya iman yako ukitaka kuanza biashara unasali ukishamalza unachukua yale maji yenye chumvi unanyunyuzia kwenye lile panga unasema kiumbe yeyote atakaeingia humu kwa njia isiyo ya kibinadamu namchinja yan hapo overrrr
Uwiiii,,ntaweza kweli!ila ahsante kwa msaada wako mkuu
 
Back
Top Bottom