Hapa mtaani Kuna mfanya biashara chuma ulete, hivi Kuna ukweli juu ya hawa watu?

Haya myasemayo ni kweli aisee,,nina biashara ya uwakala hao machuma ulete wanachukua hela sanaaaa sijui nifanyaje kuepuka hii kitu nakaribia kuacha sasa too much
Unamaanisha kama za M-pesa?
 
Hata mimi nina face the same problem ila siamini hili swala nahisi ni upepo wa biashara umekaa vibaya nchini kwa sababu ya mambo ya kisiasa.
Upepo Wa kisiasa na mtu kupoteza hela kimazingara kuna uhusiano gani? Ref.Wadau hapo juu
 
Uwiiii,,ntaweza kweli!ila ahsante kwa msaada wako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…