Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Tumekuwa tukisema walijenga waafrika weusi zile pyramids. Na tunasema zamani waafrika walikuwa wana akili sana (wazungu wakaiba akili bila shaka) tukabaki mabumunda tu. Au sivyo?
Sawa weusi ndo walijenga na kutawala Egypt na Waafrika ndo walikuwa na ustaarabu mkubwa miaka hiyo.
Swali. Baada ya kujenga hizo pyramids. Ikawaje wakachora michoro ya watu wenye pua mchongoko? Maana ile sanamu moja pyramids ambayo pua imemeguka tunasema ilikuwa ni pua ya kiafrika wazungu eti wakabomoa. Je lips zetu si zina fahamika? Haya na michoro ya mle ndani nayo mbona haiakisi uhalisia? Michoro ya sehemu nyingine za Egypt ya kale mbona haiakisi uhalisia?