Nyundo ya shujaa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2025
- 399
- 547
Mabadiliko hayawezi kuzuilika muda umeshafika serikali ikubali tu kuwasikiliza wananchi wanataka niniMwisho wa wiki hii mitandao ilivamiwa na slogan ya NO REFORMS NO ELECTION
Hii ilikuwa kama Slogan mama! Kisha ikasindikizwa na zingine kama
#Free Lissu nk
Lakini hapo hapo sambamba na hilo ikaja pia kampeni ya ku "unfollow" mitandaoni watu maarufu ambao walionekana kutounga mkono NO REFORMS NO ELECTION.. Mwathirikab mkuu akiwa Milard Ayo
Government organs nyingi ilibidi zifunge sehemu ya comment kwa yale waliyopost kwakuwa asilimia karibia 95 ziiijaa NO REFORMS NO ELECTION! Ni almost mitandao ili parallysed na hizo slogans toka kwa wachangiaji
Ni mpaka jana mchana upande wa pili walipokuja na OCTOBA TUNATIKI.. Ambayo bado inachechemea kwakuwa ni kama imevamia gari kwa mbele ambalo liko kwenye spidi kubwa
Octobatunatiki sidhani kama itauweza moto wa NORE NOE.. Maana ni HIARI vs SHURUTI... Na hiari siku zote yashinda utumwa.. NoRe NoE watu wanajitolea lakini octobatunatiki inaandaliwa bajeti
Bila kupepesa macho unaweza kuona ni nani kajaa kwenye mfumo wa mwenzake!
No tresspassing.. Otherwise! Vitasa😂View attachment 3360590
Mtumbwi wa vibwengo!Ccm wamevamia mtumbwi wa vibwengo
Utapiga kura peke yako. Nrnekwamba mnataka kuzuia uchaguzi ama 🤣 🤣
Hii picha inapaswa kusambaa kote.
Sasa hao watu walioingia chamani ndo walioifikisha chama apa...watu wapo kimaslai tu njaa Kali.📌🔨Ni kweli CCM imevamiwa kabisa..ukiona wasanii vijana wanaojiunga Kwa Kasi CCM wanakuja kutafuta maslai uko, na Wala siyo kuja kuisaidia CCM hakuna anayejiunga CCM Kwa manufaa ya Chama, watu kibao wanakuja km mafisi tena waogope Sana..km ukoma.
Sasa hao watu walioingia chamani ndo walioifikisha chama apa...watu wapo kimaslai tu njaa Kali.
Hii picha ni kitu gani?Mwisho wa wiki hii mitandao ilivamiwa na slogan ya NO REFORMS NO ELECTION
Hii ilikuwa kama Slogan mama! Kisha ikasindikizwa na zingine kama
#Free Lissu nk
Lakini hapo hapo sambamba na hilo ikaja pia kampeni ya ku "unfollow" mitandaoni watu maarufu ambao walionekana kutounga mkono NO REFORMS NO ELECTION.. Mwathirikab mkuu akiwa Milard Ayo
Government organs nyingi ilibidi zifunge sehemu ya comment kwa yale waliyopost kwakuwa asilimia karibia 95 ziiijaa NO REFORMS NO ELECTION! Ni almost mitandao ili parallysed na hizo slogans toka kwa wachangiaji
Ni mpaka jana mchana upande wa pili walipokuja na OCTOBA TUNATIKI.. Ambayo bado inachechemea kwakuwa ni kama imevamia gari kwa mbele ambalo liko kwenye spidi kubwa
Octobatunatiki sidhani kama itauweza moto wa NORE NOE.. Maana ni HIARI vs SHURUTI... Na hiari siku zote yashinda utumwa.. NoRe NoE watu wanajitolea lakini octobatunatiki inaandaliwa bajeti
Bila kupepesa macho unaweza kuona ni nani kajaa kwenye mfumo wa mwenzake!
No tresspassing.. Otherwise! Vitasa😂View attachment 3360590
Wanaccm wengi wanapinga vikali maswala ya unyama na ukatiri.Hii picha inapaswa kusambaa kote.
Ubaya ni kua watu wanadhani anaetaka mabadiliko basi ni cdm.
Kiukweli ni kituko kushiriki uchaguzi wa namna hii, ninyi kina Mshana Jr ilikuaje mkashiriki chaguzi zilizopita kwa mifumo kandamizi namna hii??
Kila kitu kiko wazi
Ni kwa maslahi ya matumbo tu mkuu ila bila hivyo hamna kitu kwenye kile chama.Wanaccm wengi wanapinga vikali maswala ya unyama na ukatiri.
Ndo maana wale wazee waasisi wa Chama wamepigwa vibuti, wakitaka kuongea/kuishauri Chama Kwa mwelekeo wanaoenda nao siyo...ahaaa Wazee wanatupiliwa mbali...Kwaiyo sasa na wale wazee wenye njaa nao wakiona mwenendo ndo uwo waunga njia ....moja kwamoja ihenaihena.Sasa hao watu walioingia chamani ndo walioifikisha chama apa...watu wapo kimaslai tu njaa Kali.📌🔨
Inashangaza sana anayehubiri Haki, Utengamano na utawala bora ndiye anaitwa mhatarisha amani.Ni kwa maslahi ya matumbo tu mkuu ila bila hivyo hamna kitu kwenye kile chama.
Kuna watu kweli wanahatarisha amani na tushaona huko nyuma wakifyekwa, ila hawa wanaotaka reforms kwenye uchaguzi amani gani inahatarishwa??
Hawa jamaa ni issue ya muda tu.
Watanzania wanakuwa bulled kwenye Neno Amani...Inashangaza sana anayehubiri Haki, Utengamano na utawala bora ndiye anaitwa mhatarisha amani.
alafu ntakachochagua ndo kitakuongozaUtapiga kura peke yako. Nrne
Bado hujàmlima tofali?Utapiga kura peke yako. Nrne
🤣 🤣 🤣 nakuonea huruma ila ushaingia kwenye mfumo utafanyaje sasa, endeleza keleleUnafikili yote haya usemayo yanaweza kuzuia kusudio la Mungu ,sio kaeni mkao sawa , siasa za nchi hii zimeisha badilika sana hapo ccm mnahitaji brain kweli kweli angalau kujaribu kucheza mdundo huu,
Mbona sasa wamefuta msura umebaki ushungi tu?Mwisho wa wiki hii mitandao ilivamiwa na slogan ya NO REFORMS NO ELECTION
Hii ilikuwa kama Slogan mama! Kisha ikasindikizwa na zingine kama
#Free Lissu nk
Lakini hapo hapo sambamba na hilo ikaja pia kampeni ya ku "unfollow" mitandaoni watu maarufu ambao walionekana kutounga mkono NO REFORMS NO ELECTION.. Mwathirikab mkuu akiwa Milard Ayo
Government organs nyingi ilibidi zifunge sehemu ya comment kwa yale waliyopost kwakuwa asilimia karibia 95 ziiijaa NO REFORMS NO ELECTION! Ni almost mitandao ili parallysed na hizo slogans toka kwa wachangiaji
Ni mpaka jana mchana upande wa pili walipokuja na OCTOBA TUNATIKI.. Ambayo bado inachechemea kwakuwa ni kama imevamia gari kwa mbele ambalo liko kwenye spidi kubwa
Octobatunatiki sidhani kama itauweza moto wa NORE NOE.. Maana ni HIARI vs SHURUTI... Na hiari siku zote yashinda utumwa.. NoRe NoE watu wanajitolea lakini octobatunatiki inaandaliwa bajeti
Bila kupepesa macho unaweza kuona ni nani kajaa kwenye mfumo wa mwenzake!
No tresspassing.. Otherwise! Vitasa😂View attachment 3360590
Sawa ,mimi ni mtu ninaejielewa ,sijai kwenye mfumo kishabiki tu, ukweli wa Mungu ni kwamba hakuna wa kuzuia kusudio la Mungu, wewe jiulize ulipo ,umeyapitia mangapi na ukavuka wafikiri ni ujanja wako? jibu ni hapana bali ni kusudio la Mungu aliekuleta Dunia halijatimia, likitimia utashangaa kila mti unaoshika unateleza🤣 🤣 🤣 nakuonea huruma ila ushaingia kwenye mfumo utafanyaje sasa, endeleza kelele
Nothing more, nothing lessNO REFORM, NO ELECTION