Hapa napendwa kweli?

Hapa napendwa kweli?

Habari,
Kuna mdada nilikua nae kwenye mahusiano ni kama kwa miezi tisa ikatokea tumegombana tukakaliana kimya kwa one month baada ya hapo nikaona turudiane ila amekua tafauti hataki kuanza kunisemesha hata "hi" tu, yani mpaka mimi nianze kumsemesha,

Wadau niambieni hapa napendwa kweli au ananipenda ila hataki kuonekana "low class", akiendelea hivi natafuta mwingine yeye nitamueka pending siku nikimhitaji namcheki,

Ni raha sana kuona mpenzi wako anakusemesha sio wewe kila siku unamsemesha yeye kauchuna
Wapenzi mkichuniana kwa kipindi kirefu basi yule atakaeanza kumtafuta mwenzake maana yake amekubali kujiweka upande dhaifu.

Huyo demu anacheza na hisia zako, ashajua wewe dhaifu kwake. Ulifanya kosa pale ulivyoanza kumtafuta baada ya kuchuniana.

Rudi nyuma, wakati mnagombana kosa lilikua ni la nani? kama kosa lilikua lako. Jaribu kuonesha umebadilika(maana najua kuna ugumu wa mwanaumenkuomba msamaha). Halafu nenda nae taratibu usioneshe kumshobokea sana. Kama hakuna mabadiliko achana nae ukifosi sana ataanza kuona anafanya favpr kuwa na wewe.

Kama wakati mnagombana kosa lilikua ni la kwake achana nae tu.
 
Mkuu mengi yamesemwa na wadau huko juu. Nakazia Kwa kusema usikubali uwe dhaifu. Kitendo Cha wewe kumtafuta mama yake wewe ndo muhitaji sana kwake.

Piga chini ama mwanamke anaekupenda lazima awe anakutufata Kila mara!

Zingatia ukimuona atakuwa zaidi ya hapo hata akikosea hata shuka maana tiyari umeonyesha udhaifu wako Tyr .

Mchane live
 
Ugomvi ni wote tulisababishiana sasa hiyo siku alinikosea tukajumlisha ugomvi wote tukaachana
 
Mkuu mengi yamesemwa na wadau huko juu. Nakazia Kwa kusema usikubali uwe dhaifu. Kitendo Cha wewe kumtafuta mama yake wewe ndo muhitaji sana kwake.

Piga chini ama mwanamke anaekupenda lazima awe anakutufata Kila mara!

Zingatia ukimuona atakuwa zaidi ya hapo hata akikosea hata shuka maana tiyari umeonyesha udhaifu wako Tyr .

Mchane live
Ni kama "sitaki nataka", yani kama anarudi hivi alafu anakataa, ila mimi sipo tayari kumpoteza
 
Back
Top Bottom