Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 6,581
- 11,572
Siku ukimwona ameanza kula maandazi na kipotabo kama mlo, jua tayari ashafikiwa.Miezi mingapi blaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ukimwona ameanza kula maandazi na kipotabo kama mlo, jua tayari ashafikiwa.Miezi mingapi blaza
Hawezi kukusemesha, hajisikii kufanya hvyo.Kwanini nazingua? Au yeye ambae hanisemeshi ndio anazingua?
Sawa nafuta namba yake tuHawezi kukusemesha, hajisikii kufanya hvyo.
NA wewe mpe anachotaka, usimsemeshe.
Saanaaa
Ndio sikiliza akili yako zaidiNampenda ila hajawahi kufikiria kunitafuta mpaka mimi nianze
Wapenzi mkichuniana kwa kipindi kirefu basi yule atakaeanza kumtafuta mwenzake maana yake amekubali kujiweka upande dhaifu.Habari,
Kuna mdada nilikua nae kwenye mahusiano ni kama kwa miezi tisa ikatokea tumegombana tukakaliana kimya kwa one month baada ya hapo nikaona turudiane ila amekua tafauti hataki kuanza kunisemesha hata "hi" tu, yani mpaka mimi nianze kumsemesha,
Wadau niambieni hapa napendwa kweli au ananipenda ila hataki kuonekana "low class", akiendelea hivi natafuta mwingine yeye nitamueka pending siku nikimhitaji namcheki,
Ni raha sana kuona mpenzi wako anakusemesha sio wewe kila siku unamsemesha yeye kauchuna
Keep them for future referenceNipe mbinu. Ukiachana na demu unashauriwa ufute namba na kumbukumbu zake au Niziache tu?
Kupasha kiporo sioKeep them for future reference
Ugomvi ni wote tulisababishiana sasa hiyo siku alinikosea tukajumlisha ugomvi wote tukaachanaWapenzi mkichuniana kwa kipindi kirefu basi yule atakaeanza kumtafuta mwenzake maana yake amekubali kujiweka upande dhaifu.
Huyo demu anacheza na hisia zako, ashajua wewe dhaifu kwake. Ulifanya kosa pale ulivyoanza kumtafuta baada ya kuchuniana.
Rudi nyuma, wakati mnagombana kosa lilikua ni la nani? kama kosa lilikua lako. Jaribu kuonesha umebadilika(maana najua kuna ugumu wa mwanaumenkuomba msamaha). Halafu nenda nae taratibu usioneshe kumshobokea sana. Kama hakuna mabadiliko achana nae ukifosi sana ataanza kuona anafanya favpr kuwa na wewe.
Kama wakati mnagombana kosa lilikua ni la kwake achana nae tu.
Ni kama "sitaki nataka", yani kama anarudi hivi alafu anakataa, ila mimi sipo tayari kumpotezaMkuu mengi yamesemwa na wadau huko juu. Nakazia Kwa kusema usikubali uwe dhaifu. Kitendo Cha wewe kumtafuta mama yake wewe ndo muhitaji sana kwake.
Piga chini ama mwanamke anaekupenda lazima awe anakutufata Kila mara!
Zingatia ukimuona atakuwa zaidi ya hapo hata akikosea hata shuka maana tiyari umeonyesha udhaifu wako Tyr .
Mchane live