Hapa ndio pa kuwa na pesa kama unamtaji!

Hapa ndio pa kuwa na pesa kama unamtaji!

Ndio mwaka niliojitosa kwenye kilimo kwa miguu yote. Ajabu mimea inakauka shambani. Napagawa. Nimezika mahela mengi ardhini.
 
tulioandaa mashamba majani yanaanza kuota upya kusubilia mvua.
 
Kwa wale wenzetu wenye hela za mtaji,mvua kwa Sasa zinasusua,hivyo mazao inavyoonekana yatakuwa hafifu.
Kuna uwezekano mkubwa wa Njaa,hivyo kama unamtaji ni kuweka tayari magunia na stoo ya kuhifadhia nafaka ili uweze kuwauzia wahitaji kwa bei ya Faida kubwa.Ahsanteni.
wazo zuri kaka
 
Njombe mvua ipo chini sana kuliko kawaida. Baadhi ya watu mahindi yalikauka, mvua ilisimama siku 10. Songea napo tee,siijui mbeya. Huu mwaka mazao yatapanda sana mtasikia watu wa Dar wakilialia serikali ifunge mipaka, wanapenda mteremko wa vyakula vya bure, safari hii wafunge mkanda, mahindi yanaweza kufika elf 15-20 kwa debe.
Kweli kabisa, maana mvua zimegoma kabisa,watu wamelima heka Nyingi wamepata stress!
 
Back
Top Bottom