Hapa ndio pa kuwa na pesa kama unamtaji!

Bila kusahau wale walio Njombe na Mbeya wanaweza kupanda mahindu ya kumwagilia na wakapiga hela. Njombe na mbeya umwagiliaji unawezekana, mito ni mingi.
Kweli kabisa mito ni mingi sana!
 
Ndio mwaka niliojitosa kwenye kilimo kwa miguu yote. Ajabu mimea inakauka shambani. Napagawa. Nimezika mahela mengi ardhini.
 
tulioandaa mashamba majani yanaanza kuota upya kusubilia mvua.
 
wazo zuri kaka
 
Kweli kabisa, maana mvua zimegoma kabisa,watu wamelima heka Nyingi wamepata stress!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…