Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hatari sanaHahhhahaa mabaharia wamemshika huku na huku .!hwhahaah!...
Ila hao mabaharia nimewachunguza wana body fulani hv anakubeba hachoki[emoji1787][emoji1787]!
OSHA hawapo Kilimanjaro?Angevaa suruali, tshirt na safety boot, wasaidz wake wangemshauri.
Endelea kusoma na uielewe caption.Mbona nikisoma caption ya hiyo picha na habari uliyoleta mkuu vinakinzana sana.
Maelezo picha yanasema mkuu alikuwa na ziara katika kijiji icho, lakini ww unatuambia alikwenda mahususi kukagua mafuriko?
Mkuu nimeisoma zaidi ya mara tatu, nilichokiona labda tu makosa ya kiuandishi hapo anapomalizia maelezo ''Mkuu huyo wa mkoa alikuwa na ziara kwenye hicho''Endelea kusoma na uielewe caption.
Naona baadhi yetu tuna mapungufu makubwa sana katika kusoma habari na kuielewa. Au pengine tumezoea kuona picha na kutunga habari zetu. Asante mkuu kama nawe umeielewa habari iliyopo kwenye picha dhidi ya uongo wa mleta uzi.We mtoa post unadharau sana. Yaani mimi sijui kusoma kweli? Ungefuta hayo maandishi ya chini hapo ili ubaki uongo wako.