Hapa ndipo anapoishi Kajala, nje na ndani ya nyumba yake

Hapa ndipo anapoishi Kajala, nje na ndani ya nyumba yake

Mkipata fursa mtupigie video ya dj.majani tuone naye nyumbani kwake kukoje. Kuna siku majani alidhalilisha sana huyu dada Kajala kwa kusema " I took her out of the streets but I could't take streets out of her"
 
Nilichogundua:

1. Nyumba yake ni ndogo halafu kaijaza sana mavitu ndo inazidi kuonekana imebana....

2. Hayupo comfortable,katoka kuoga katupia dela bila braa halafu anaficha ficha mtindi wake na mkono ili tusione "ndala" zake...

3. Anabana bana kila saa hilo dela kwa kulinyanyua ili tuone tako...
Anahisi akialiachia ataonekana kapigwa pasi...

3. Ni msafi...

Ovaaa[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Hhahahaaaahaha mmmuh!! Watu mnamacho
 
Isije kua nyumba kama ya yule msanii anaitwa madame hutangaza nyimba take kesho anafukuzwa tens kwenye nyumba alienunua siku mbili tu
 
Huyu si alishindwa kujilipia fain mahakaman lakin kaweza kujenga
 
Back
Top Bottom