Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa....! anashughulika na nini??Mtoto wa kisuma aliyekulia mjini si mshamba kama wasukuma wengine wanavyoitwa washamba.
she got an attitude problemNi camera shy, ama kiburi? Mtu anahojiwa, yuko busy na simu.
Hhahahaaaahaha mmmuh!! Watu mnamachoNilichogundua:
1. Nyumba yake ni ndogo halafu kaijaza sana mavitu ndo inazidi kuonekana imebana....
2. Hayupo comfortable,katoka kuoga katupia dela bila braa halafu anaficha ficha mtindi wake na mkono ili tusione "ndala" zake...
3. Anabana bana kila saa hilo dela kwa kulinyanyua ili tuone tako...
Anahisi akialiachia ataonekana kapigwa pasi...
3. Ni msafi...
Ovaaa[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
True,mtu anaongea na wewe unajibu kama hutaki.stupid celebrityshe got an attitude problem
[emoji23]Hhahahaaaahaha mmmuh!! Watu mnamacho
No!!! kuishi ni neno pana.. unaweza kuishi kwako au kuishi mahali pa mwingine, hapo inategemea uandishi wa mwandishi"Anapoishi"
Hili neno limeeleza kila kitu, nilidhani kwake
Kwasana anauza nyama usiku...ndo shughuli kuusawa....! anashughulika na nini??
hata mimi niliishia kati kati nikaona ni ungese tu...Haha nimeamua nisipoteze mb zangu kuendelea kuangalia
mjasiliamwili sio....???
Haswa hapo anatafuta wa kulipa kodi ya pango ndo maaana hajatupia[emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160].......mjasiliamwili sio....???
Haha bora ntaangalia kesho ofisinihata mimi niliishia kati kati nikaona ni ungese tu...
teh teh teh....Haswa hapo anatafuta wa kulipa kodi ya pango ndo maaana hajatupia[emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160].......
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app