Asante mkuu barikiwa SanaBahari ya Chumvi, mojawapo ya maajabu mazuri zaidi ya dunia, ni ziwa la chumvi ambalo liko kwenye sehemu ya chini kabisa ya Dunia.
Mpaka wa Yordani kwa Mashariki, na Israeli na Ukingo wa Magharibi kuelekea Magharibi. Iko katika Bonde la Yordani, na kijito chake kikuu ni Mto Yordani.
Uso wa ziwa hilo upo mita 430.5 chini ya usawa wa bahari, na kulifanya kuwa ziwa la chini kabisa la chumvi duniani..
Wanaiita bahari mfu kwa sababu kimsingi haina uhai kwa asilimia 90. Sababu ya ukosefu huu wa Uhai ni kiasi Kikubwa na cha ajabu cha chumvi kilichomo.
Lakini, katika maji ya bahari hii kuna wanyama wanaishi kwa nguvu ya vijidudu vya halophilic, ambao wana uwezo wa kuishi katika mazingira ya chumvi
Pia protozoo ciliated, na baadhi ya mwani na kundi la bakteria wa Flavobacterium, Halococcus na Halobacterium, ni kati ya viumbe wengine wenye uwezo wa kuishi humo
View attachment 3217191
Nina Usaili Leo , sehemu morogoro na nipo DSM nilihitaji sapoti ya nauli ya kufika hapo Usaili utakuwa mchana .Sijakuelewa nadhani
The same person with same problem but with different ID alinicheki Jana.. Just confused๐ฅบ
Ok mkuu
Kwa hilo jibu inaonesha kakubali ndio yeye New member wanaomba sana๐คฃ๐คฃNi wewe au sio?
Muwe mnajifunza mbinu mpya. Sasa unazungumzia jambo lilelile kwa ID tofauti huo si upumbavu?Ok mkuu
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃSijakuelewa nadhani
Jikaze mtoto wa kiume. Dsm - Moro unaweza tembea kabisa.Asante mkuu barikiwa Sana
Kama utaguswa nisapoti 10K usiku ili nipate nauli ya kuudhuria Usaili morogoro Leo mchana.
Wanataka pesa ya bure, ID mpya, ukiwakuta bar wanakutukana kumbe pesa wameomba hapa. Huu utapeli Max na mod unganisheni ID km zamani miaka 2011 huko mlivyokuwa mnafanya.Kwa hilo jibu inaonesha kakubali ndio yeye New member wanaomba sana๐คฃ๐คฃ
morogoro hapo karibu...nenda kibaharia ...lift kwenye malori huwezi kukosaAsante mkuu barikiwa Sana
Kama utaguswa nisapoti 10K usiku ili nipate nauli ya kuudhuria Usaili morogoro Leo mchana.
hii habari ya kuomba omba, mumeweka ndo kazi yenu,...munakera sana ๐ฎ๐ฎAsante mkuu barikiwa Sana
Kama utaguswa nisapoti 10K usiku ili nipate nauli ya kuudhuria Usaili morogoro Leo mchana.