Hapa ndipo ilipozikwa Sodoma na Gomorrah

Hiyo unaweza tu kuingia Google ukapata kila kitu
Okay, but nilitaka uweke hapa ili mjadala unoge kwa maana hisia zangu zinaniambia ni ngumu kwa ukubwa wa 605km za mraba kubeba miji miwili... Tusaidie historia yake zaidi tujue limepungua ukubwa kwa kiasi gani pamoja na rate yake ya kupungua Kila mwaka ikoje (if possible)
 
hii mijitu ni kero,...imekuwa kama popup ads..inaibuka kokote mpaka pm....imekuwa kero mno
Basi juzi kati mimi na bi huruma vyangu kuna mdau kaja pm kuomba msaada , nikajikamua kijua mwanaume mwenzangu yuko kwenye changamoto kumbe yaweza kuwa niliingizwa king!!
 
Okay, but nilitaka uweke hapa ili mjadala unoge kwa maana hisia zangu zinaniambia ni ngumu kwa ukubwa wa 605km za mraba kubeba miji miwili... Tusaidie historia yake zaidi tujue limepungua ukubwa kwa kiasi gani pamoja na rate yake ya kupungua Kila mwaka ikoje (if possible)
Sina zaidi ya hukohuko mitandaoni.. Nikipata muda nitajaribu kudadisi zaidi
 
Back
Top Bottom