Hapa ndipo ilipozikwa Sodoma na Gomorrah

Hapo pemben Kuna madini ya sulfur ambayo yanawasha moto

Hiyo Bahari mfu ni uthibitisho kuwa Ushoga ni laana

Fikeni hapo mkajionee ,mm nimefika
 
Tupe stori kamili km unapicha za kusindikiza itakaa vizuri
 
Jumamosi moja nilikwenda club kutafuta papuchi hafla likatokea chura dume(gay) kalewa anajaribu kunisemesha. Nilimkamata kwenye koo nikamwabia potea kabla sijakupote
Hahaha sema ukitongozwa na hao makamanda unajihisi kama una mkosi vile.
 
Na ni afadhari kile kitabu cha kukopi na kipesti hakina habari za Sodoma na Gomora, la sivyo wangesha anza fujo humu.

Ungewasikia "Nabii Luti alikuwa wa Dini yetu ndio maana akapona na kiberiti cha moto"
Jamaa hakusimuliwa hii stori angeifanya ya kwake.
 
Bahari ya Chumvi, mojawapo ya maajabu mazuri zaidi ya dunia, ni ziwa la chumvi ambalo liko kwenye sehemu ya chini kabisa ya Dunia.

Mpaka wa Yordani kwa Mashariki, na Israeli na Ukingo wa Magharibi kuelekea Magharibi. Iko katika Bonde la Yordani, na kijito chake kikuu ni Mto Yordani.

Uso wa ziwa hilo upo mita 430.5 chini ya usawa wa bahari, na kulifanya kuwa ziwa la chini kabisa la chumvi duniani..

Wanaiita bahari mfu kwa sababu kimsingi haina uhai kwa asilimia 90. Sababu ya ukosefu huu wa Uhai ni kiasi Kikubwa na cha ajabu cha chumvi kilichomo.

Lakini, katika maji ya bahari hii kuna wanyama wanaishi kwa nguvu ya vijidudu vya halophilic, ambao wana uwezo wa kuishi katika mazingira ya chumvi

Pia protozoo ciliated, na baadhi ya mwani na kundi la bakteria wa Flavobacterium, Halococcus na Halobacterium, ni kati ya viumbe wengine wenye uwezo wa kuishi humo

Kulingana na Biblia, katika sehemu ya kina Cha chini kabisa cha Bahari ya Chumvi, ndipo majiji ya Sodoma na Gomora yamezamishwa hapo

View attachment 3217191
Wewe ni Muislam, nduguzo (majini) hawamo humo?
 
Nataka nije nitemvelee nchi za Israel na Jordan na haswa maeneo matajatifu.

Ni kiasi gani cha pesa niwe nacho ili niweze kufanya utalii kwa raha?
 
Ni
Muwe mnajifunza mbinu mpya. Sasa unazungumzia jambo lilelile kwa ID tofauti huo si upumbavu?

Au mpo wengi na kabla ya ku strike mnakaa kikao na kukubaliana leo mtembee na kauli mbiu gani?

Na hivyo mmoja wenu amesha fika kwa mshana kwa swala kama la kwako?
Ni hao tuma kwa namba hii, utapeli wa kitoto sana.
 
Back
Top Bottom