Hapa ndipo ilipozikwa Sodoma na Gomorrah

Hapo pemben Kuna madini ya sulfur ambayo yanawasha moto

Hiyo Bahari mfu ni uthibitisho kuwa Ushoga ni laana

Fikeni hapo mkajionee ,mm nimefika
 
Hapo pemben Kuna madini ya sulfur ambayo yanawasha moto

Hiyo Bahari mfu ni uthibitisho kuwa Ushoga ni laana

Fikeni hapo mkajionee ,mm nimefika
Tupe stori kamili km unapicha za kusindikiza itakaa vizuri
 
Jumamosi moja nilikwenda club kutafuta papuchi hafla likatokea chura dume(gay) kalewa anajaribu kunisemesha. Nilimkamata kwenye koo nikamwabia potea kabla sijakupote
Hahaha sema ukitongozwa na hao makamanda unajihisi kama una mkosi vile.
 
Na ni afadhari kile kitabu cha kukopi na kipesti hakina habari za Sodoma na Gomora, la sivyo wangesha anza fujo humu.

Ungewasikia "Nabii Luti alikuwa wa Dini yetu ndio maana akapona na kiberiti cha moto"
Jamaa hakusimuliwa hii stori angeifanya ya kwake.
 
Wewe ni Muislam, nduguzo (majini) hawamo humo?
 
Nataka nije nitemvelee nchi za Israel na Jordan na haswa maeneo matajatifu.

Ni kiasi gani cha pesa niwe nacho ili niweze kufanya utalii kwa raha?
 
Ni Ni hao tuma kwa namba hii, utapeli wa kitoto sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…