Hapa ndipo ilipozikwa Sodoma na Gomorrah

Jikaze mtoto wa kiume. Dsm - Moro unaweza tembea kabisa.
Dah k$m&ke aya maisha haya 🤣🤣🤣🤣..ko ajikaze aprint ad Moro town au cyo,...
Ndo maana nakaza sana nipate changu ata mia mbili t lakn yangu..
Kuomba kunadhalilisha sana.
 
Dah k$m&ke aya maisha haya 🤣🤣🤣🤣..ko ajikaze aprint ad Moro town au cyo,...
Ndo maana nakaza sana nipate changu ata mia mbili t lakn yangu..
Kuomba kunadhalilisha sana.
😁 hongera kwa kulitambua. Kuomba kunaambatana na aibu hasa unaponyimwa. Na huenda ikawa aibu zaidi ukitangazwa kuwa uliomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…