Hapa ndipo Uongozi wa Simba SC mnaponikwaza na ndiyo maana sasa nimeamua Kuwaacha ili mpotee zaidi na Timu iendelee Kuharibikiwa tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC?

Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni muende wapi mkampige Pini muone kama hata huko Yanga SC Kwenyewe atacheza Kudadadeki zake.

Hakuna Mchezaji nisiyempenda kama huyo kwani Katumiiza mno tu Simba SC japo akima Matomaso wengi Simba SC hawajui.
 
Inonga tokea yalivyoisha mashindano ya AFCON alikuwa anatakiwa na Nabi kule Far Rabat. Na ilisemekana kansaini pre contract. Hizo za kutakiwa na Yanga ni wapi na wapi
 
Mchezaji akitaka kuondoka lazima timu husika itoe mzigo wa uhakika vinginevyo Simba itakuwa inapoteza wachezaji kwa sababu za kipuuzi. Weka dau kubwa akibaki piga benchi mpaka kiwango kishuke maana ameshindwa kuheshimu taaluma yake
Viongozi wa Simba watakuwa wapumbavu kuweka dau kubwa kwa mchezaji yeyoye kwa sasa.Mchezaji kama Inonga ameigharimu sana timu.Tena anafanya maksudi.Hapa ndipo ninapoona yanga wamefanikiwa sana.Wana uwezo wa kuwaambia baadhi ya wachezaji wa Simba wacheze chini ya kiwango na wanafanya hivyo
 
Hivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC?

Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni muende wapi mkampige Pini muone kama hata huko Yanga SC Kwenyewe atacheza Kudadadeki zake.

Hakuna Mchezaji nisiyempenda kama huyo kwani Katumiiza mno tu Simba SC japo akima Matomaso wengi Simba SC hawajui.
Siamini kama kuna mtu ana imani na huyo bishoo tena,wanachofanya ni kumtaka awalete hao wanaomtaka ifanyike biashara asepe zake
 
Hivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC?

Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni muende wapi mkampige Pini muone kama hata huko Yanga SC Kwenyewe atacheza Kudadadeki zake.

Hakuna Mchezaji nisiyempenda kama huyo kwani Katumiiza mno tu Simba SC japo akima Matomaso wengi Simba SC hawajui.
Tuletee Barbara wetu.
 
Back
Top Bottom