GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ndiyo maana miaka miwili nyuma nilifurahi sana Muhuni wangu Jonas Mkude alipompiga Kichwa Vyumbani kwa Upuuzi wake huo.Sishauri yanga kumchukua Inonga jamaa ni mjivuni hatari
Aende Azam patamfaa maana ndio hawana beki ya kusaidiana na Fuentes
Huwa ninapenda sana kukutana na Intelligent Members kama Wewe hapa JamiiForums Mkuu. Umemaliza kila Kitu Heko.Inonga kachomesha match kadhaa msimu huu, taaluma yake ya kuhadaa mashabiki na waamuzi imefikia mwisho sasa.
HahahahahaKwamba viongozi wa Simba wakusilize wewe mchimba chumvi???
Unajipa umuhimu usio kuwa nao, wewe ni mfuko wa Rambo mnadanganyana sana umu washamba nyie
Ngoja aje... 😁Kwamba viongozi wa Simba wakusilize wewe mchimba chumvi???
Unajipa umuhimu usio kuwa nao, wewe ni mfuko wa Rambo mnadanganyana sana umu washamba nyie
huyu yanga hafaiSishauri yanga kumchukua Inonga jamaa ni mjivuni hatari
Aende Azam patamfaa maana ndio hawana beki ya kusaidiana na Fuentes
Jamaa anachomesha sana,nakumbuka ile gem na prison jamaa alipigwa chenga akaanguka akaona aibu kuinuka haraka kwenda kukaba akajifanya kaumia watu wakapiga goli,Inonga kachomesha match kadhaa msimu huu, taaluma yake ya kuhadaa mashabiki na waamuzi imefikia mwisho sasa.
Mkuu umemaliza kabisa, Inonga ameanza kutuuza zamani sana hata wacongo wenzake pale mtaa wa livingstone na lindi wanasema jamaa ana tabia mbaya sanaNdiyo maana miaka miwili nyuma nilifurahi sana Muhuni wangu Jonas Mkude alipompiga Kichwa Vyumbani kwa Upuuzi wake huo.
Mechi zote za Yanga SC na hata kadha dhidi ya Azam FC katuua sana ila kuna Simba sc Majuha hili wala hawatalielewa.Mkuu umemaliza kabisa, Inonga ameanza kutuuza zamani sana hata wacongo wenzake pale mtaa wa livingstone na lindi wanasema jamaa ana tabia mbaya sana
Viongozi wa Simba watakuwa wapumbavu kuweka dau kubwa kwa mchezaji yeyoye kwa sasa.Mchezaji kama Inonga ameigharimu sana timu.Tena anafanya maksudi.Hapa ndipo ninapoona yanga wamefanikiwa sana.Wana uwezo wa kuwaambia baadhi ya wachezaji wa Simba wacheze chini ya kiwango na wanafanya hivyoMchezaji akitaka kuondoka lazima timu husika itoe mzigo wa uhakika vinginevyo Simba itakuwa inapoteza wachezaji kwa sababu za kipuuzi. Weka dau kubwa akibaki piga benchi mpaka kiwango kishuke maana ameshindwa kuheshimu taaluma yake
Wajinga wakisifiana.Huwa ninapenda sana kukutana na Intelligent Members kama Wewe hapa JamiiForums Mkuu. Umemaliza kila Kitu Heko.
Siamini kama kuna mtu ana imani na huyo bishoo tena,wanachofanya ni kumtaka awalete hao wanaomtaka ifanyike biashara asepe zakeHivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC?
Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni muende wapi mkampige Pini muone kama hata huko Yanga SC Kwenyewe atacheza Kudadadeki zake.
Hakuna Mchezaji nisiyempenda kama huyo kwani Katumiiza mno tu Simba SC japo akima Matomaso wengi Simba SC hawajui.
Huku Juha ( Fool ) ukichukia.Wajinga wakisifiana.
Tuletee Barbara wetu.Hivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC?
Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni muende wapi mkampige Pini muone kama hata huko Yanga SC Kwenyewe atacheza Kudadadeki zake.
Hakuna Mchezaji nisiyempenda kama huyo kwani Katumiiza mno tu Simba SC japo akima Matomaso wengi Simba SC hawajui.